Nimrod Mkono na Mkono Advocates watch

Nimrod Mkono na Mkono Advocates watch

.... kaanza kurudisha kwa kutoa mchango wa 50mil. shs kule Mara.
 
Hapa ndipo tulipokuwa tunapataka huyu jamaa, baada ya kuanza kutajwa kuhusu EPA alipata kiburi jeuri dharau na kuzidi kutoa mikucha hiyo yote ni kuonesha kwa watz kuwa hawamuwezi kabisa, sasa muda umefika wa kusema yote

ATUELEZE UKWELI WA BANK M
 
sidhani kama ni sawa Mkono kurudisha hizo pesa kama kosa ni la BOT

lakini on the other hand kama Mkono anataka kuendelea kuwa na politiocal career ambayo haitochafuliwa na wapinzani anaweza kuirudha hiyo pesa au anaweza kuidonate kwenye moja kati ya charity zake nyingi

the bottom line zile ni pesa za walipa kodi walala hoi

Na Usije Ukashangaa Kati Ya Waliorudisha Hele Za Epa (kama Ni Kweli) Akawa Ni Mmoja Wao Na Hiyo Ni Baada Ya Kupata Faida Kutoka Bank M
 
sidhani kama ni sawa Mkono kurudisha hizo pesa kama kosa ni la BOT

lakini on the other hand kama Mkono anataka kuendelea kuwa na politiocal career ambayo haitochafuliwa na wapinzani anaweza kuirudha hiyo pesa au anaweza kuidonate kwenye moja kati ya charity zake nyingi

the bottom line zile ni pesa za walipa kodi walala hoi

Game, which is which?!! can you expound pls...
 
ha ha haaa........ na hii nayo ni maisha!!! Nakumbuka kuna magazeti yaliwa "quote" baadhi ya wajumbe wa NEC kule Butiama (wakati wa ule mkutano wao ule wa mwezi uliopita) wakitoa pongezi nyingi/mbalimbali baada ya kutembelea miradi ya huyu Mheshimiwa kwamba "eti afadhali huyu hata kama ameiba lakini ameleta maendeleo/amewekeza hapa nyumbani"!! Shame on them, kulikuwa na thread pia humu ndani ambapo kuna waliounga mkono na kuna waliopinga ku "endorse" hii kitu ya wizi kwa kutumia "Robin Hood Theory"

Kazi ipo..............
 
Hata kama kosa ni la BOT kulipa zaidi, kwa nini Mkono alikubali kulipwa zaidi? Uchafu wake naye unazidi kufunuka
 
Aka kazee kitambo nilikuwa nakaamini na misimamo yake.
Fedha bwana mbaya!
 
Mwaka huu tutaona mengi sana!!Hapa kuna mchezo lazma..first chenge , now mkono whose next?? Kweli lowassa kaamua kutokufa alone...
END OF THE DAY TANZANIA BENEFITS..Wacha waendelee kuchafuana tuu...
Upinzani kazi kwenu 2010..all the reasons why people should not vote for CCM are out in the open!!
 
sidhani kama ni sawa Mkono kurudisha hizo pesa kama kosa ni la BOT

lakini on the other hand kama Mkono anataka kuendelea kuwa na politiocal career ambayo haitochafuliwa na wapinzani anaweza kuirudha hiyo pesa au anaweza kuidonate kwenye moja kati ya charity zake nyingi

the bottom line zile ni pesa za walipa kodi walala hoi

Mkuu GT,

Kwa taratibu za malipo, ukizidishiwa unatakiwa kurudisha au kuuliza ziada ya malipo inatoka wapi. Hii inaoneka kuwa ni deal ambayo imeenda kombo, manake BOT hawawezi kumzidishia kiasi kingi hivyo (TShs. 5Bil) bila wao au Nkono kugundua. Moreover, Mkono ili alipwe anatakiwa kuwa-invoice BoT.

Kwa hiyo either, Mkono atakuwa amewaibia BoT kwa ku-over-invoice, au ni kamchezo kati yao ambako walifikiri as long as Bilali yupo, kasingejulikana.
 
Aka kazee kitambo nilikuwa nakaamini na misimamo yake.
Fedha bwana mbaya!

Huyu Mkono ana historia ya kuwa na mkono mrefu(mwizi)tangu siku za Nyerere,ndiyo sababu kuu ya yeye kuishi uhamishoni miaka kadhaa baada ya kupora huko huko benki.

Arudishe jasho la wananchi.

Alikuwa anapinga taarifa ya ufisadi ya akina Dr.Slaa,sasa sijui hii ya CAG nayo ataipiga teke?

Kumbe hata mtaji wa Bank M aliyojiita yake umetoka BOT???

lETA PESA ZETU
 
Mwaka huu tutaona mengi sana!!Hapa kuna mchezo lazma..first chenge , now mkono whose next?? Kweli lowassa kaamua kutokufa alone...
END OF THE DAY TANZANIA BENEFITS..Wacha waendelee kuchafuana tuu...
Upinzani kazi kwenu 2010..all the reasons why people should not vote for CCM are out in the open!!

Nadhani si mambo ya kuchafuana. Sasa ndio tunaelewa kuwa UKWELI HAUFICHIKI ASILANI, UKWELI MARA ZOTE HUJITENGA kutoka kwenye UONGO. Na kwamba za MWIZI NI 40
 
Mh. Nkono, turudishie pesa yetu.

BoT overpaid advocate Mkono, says CAG report

TUMA ABDALLAH
Daily News; Monday,April 14, 2008 @00:03

THE Bank of Tanzania (BoT) made excessive payment of legal fees at the tune of 5bn/- to Mkono and Company advocates during the last financial year, as part of the charges for handling the Valambia case.

Controller and Auditor General (CAG), Ludovick Utouh, says in his report on the financial statements of Public Authorities and other bodies for the 2006/07 that the amount is twice as much of what was paid in the previous fiscal year (2.9bn/-).

"This makes the total payment made as of June 30th 2006 reach 8.1bn/-", he says. According to the CAG, the amount paid is already more than 10 per cent of the 60bn/- the case’s contingent liability to the government.

"The bank may end up paying excessively high legal fees on the case, considering the fact that neither the outcome nor the time frame the matter will take is known," he cautions. Meanwhile, the CAG says that a number of parastatals have not repaid 175.3bn/- in loan issued under government guarantees.

Wapi hapo inaonyesha pesa hazikulipwa kihalali? Wapi amewakamua (overbill) hapo? Labda zimelipwa kizembe - kuendeleza kesi inayogharimu kiasi kikubwa kuliko hukumu yenyewe - lakini hawajasema lolote kuhusu Mkono kupata faida zaidi ya alivyo stahili. Wakili akisha fanya kazi amesha weka muda na juhudi, na isipokuwa kama amekukamua hiyo hela imesha enda kwa mganga!

Tatizo Serikali hapa, sio Mkono. (Ukimfumania mmeo, hawala hana makosa; unajuaje alijua kaoa?). Ok, turudi kwenye mada. Kiendacho kwa Mkono hakirudi!
 
Nakubaliana nawewe Kuhani mkuu, hapa wa kumuangalia ni BOT soiyo Mkono. Ila kuhusu kuzindishiwa fedha limetajwa hapo juu. Inavyoonekana utendaji wa BOT ulikuwa wa kifasadi katika kila jambo (kama umebadilika sasa). Ni vigumu kuamini, sehemu walipokaa wachumi waliobobea na wahasibu na wakaguzi wa ndani wa mahesabu, panafanyika vituko hivi. aibu

Mwandishi wa gazeti anasema "THE Bank of Tanzania (BoT) made excessive payment of legal fees at the tune of 5bn/- to Mkono and Company advocates during the last financial year"
 
very interesting...haijasema mkono stole 5billion from bot...sasa kama bot wanauzembe huu which 100% because of CCM interfering in their affairs..je wanawezaje kumonitor smaller banks?? sh ngapi zimesafishwa na smaller banks with BOT'S blessing??
 
nziku & Kuhani Mkuu, heshima kwenu
nadhani hamjamwelewa KubwaJinga alivyosema. Kwa kawaida, BOT inafanya malipo baada ya kuletewa Invoice na mdai. Kama imemlipa Mkono kiasi hicho cga fedha, basi kilitokana na invoice iliyoletwa na Mkono. Hivyo kwa vyovyote vile, lazima Mkono anahusika katika malipo hayo kwa sababu ni yeye aliyekuwa anaandika kiasi cha fedha ambazo anatakiwa kulipwa. kama aliandika invoice yenye fedha kidogo, halafu BOT wakazidisha, alitakiwa kuhoji malipo ya ziada yametokea wapi? hakufanya hivyo!
 
Mwaka huu tutaona mengi sana!!Hapa kuna mchezo lazma..first chenge , now mkono whose next?? Kweli lowassa kaamua kutokufa alone...
END OF THE DAY TANZANIA BENEFITS..Wacha waendelee kuchafuana tuu...
Upinzani kazi kwenu 2010..all the reasons why people should not vote for CCM are out in the open!!

Heshima kwako mzee Kapinga.
Naomba ufafanuzi kidogo, nilivyoelewa mimi, mkono katajwa kwenye ripoti ya CAG, sasa huyu Lowassa anakujaje hapa?
 
nziku & Kuhani Mkuu, heshima kwenu
nadhani hamjamwelewa KubwaJinga alivyosema. Kwa kawaida, BOT inafanya malipo baada ya kuletewa Invoice na mdai. Kama imemlipa Mkono kiasi hicho cga fedha, basi kilitokana na invoice iliyoletwa na Mkono. Hivyo kwa vyovyote vile, lazima Mkono anahusika katika malipo hayo kwa sababu ni yeye aliyekuwa anaandika kiasi cha fedha ambazo anatakiwa kulipwa. kama aliandika invoice yenye fedha kidogo, halafu BOT wakazidisha, alitakiwa kuhoji malipo ya ziada yametokea wapi? hakufanya hivyo!

Asante Mkuu Mpita Njia, umenikumbusha suala la maana sana la invoice. lakini bado BOT hawawezi kukwepa kosa kwani walikubali kumlipa Mkono zaidi ya kiwango. Kosa la Mkono ni kutoa madai ya uongo (kudai zaidi ya malipo stahili).
 
Ndiyo maana mimi ninaamini kuwa kuna conspiracy kubwa kati ya BOT na Mkono company ambao wameitumia hiyo kesi ya Valambhia kama kivuli. lakini nadhani hata CAG na yeye inabidi atueleze mbona haya masuala yalikuwa hayaonekani kwenye ripoti zake za miaka iliyopita? Au wizi huo wameuanza mwaka jana?
 
Back
Top Bottom