Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.... kaanza kurudisha kwa kutoa mchango wa 50mil. shs kule Mara.
Game, which is which?!! can you expound pls...sidhani kama ni sawa Mkono kurudisha hizo pesa kama kosa ni la BOT
lakini on the other hand kama Mkono anataka kuendelea kuwa na politiocal career ambayo haitochafuliwa na wapinzani anaweza kuirudha hiyo pesa au anaweza kuidonate kwenye moja kati ya charity zake nyingi
the bottom line zile ni pesa za walipa kodi walala hoi
sidhani kama ni sawa Mkono kurudisha hizo pesa kama kosa ni la BOT
lakini on the other hand kama Mkono anataka kuendelea kuwa na politiocal career ambayo haitochafuliwa na wapinzani anaweza kuirudha hiyo pesa au anaweza kuidonate kwenye moja kati ya charity zake nyingi
the bottom line zile ni pesa za walipa kodi walala hoi
Aka kazee kitambo nilikuwa nakaamini na misimamo yake.
Fedha bwana mbaya!
Mwaka huu tutaona mengi sana!!Hapa kuna mchezo lazma..first chenge , now mkono whose next?? Kweli lowassa kaamua kutokufa alone...
END OF THE DAY TANZANIA BENEFITS..Wacha waendelee kuchafuana tuu...
Upinzani kazi kwenu 2010..all the reasons why people should not vote for CCM are out in the open!!
Mh. Nkono, turudishie pesa yetu.
BoT overpaid advocate Mkono, says CAG report
TUMA ABDALLAH
Daily News; Monday,April 14, 2008 @00:03
THE Bank of Tanzania (BoT) made excessive payment of legal fees at the tune of 5bn/- to Mkono and Company advocates during the last financial year, as part of the charges for handling the Valambia case.
Controller and Auditor General (CAG), Ludovick Utouh, says in his report on the financial statements of Public Authorities and other bodies for the 2006/07 that the amount is twice as much of what was paid in the previous fiscal year (2.9bn/-).
"This makes the total payment made as of June 30th 2006 reach 8.1bn/-", he says. According to the CAG, the amount paid is already more than 10 per cent of the 60bn/- the cases contingent liability to the government.
"The bank may end up paying excessively high legal fees on the case, considering the fact that neither the outcome nor the time frame the matter will take is known," he cautions. Meanwhile, the CAG says that a number of parastatals have not repaid 175.3bn/- in loan issued under government guarantees.
Wapi hapo inaonyesha pesa hazikulipwa kihalali? Wapi amewakamua (overbill) hapo? Labda zimelipwa kizembe - kuendeleza kesi inayogharimu kiasi kikubwa kuliko hukumu yenyewe - lakini hawajasema lolote kuhusu Mkono kupata faida zaidi ya alivyo stahili. Wakili akisha fanya kazi amesha weka muda na juhudi, na isipokuwa kama amekukamua hiyo hela imesha enda kwa mganga!
Tatizo Serikali hapa, sio Mkono. (Ukimfumania mmeo, hawala hana makosa; unajuaje alijua kaoa?). Ok, turudi kwenye mada. Kiendacho kwa Mkono hakirudi!
Nakubaliana nawewe Kuhani mkuu, hapa wa kumuangalia ni BOT soiyo Mkono. Ila kuhusu kuzindishiwa fedha limetajwa hapo juu. Inavyoonekana utendaji wa BOT ulikuwa wa kifasadi katika kila jambo (kama umebadilika sasa). Ni vigumu kuamini, sehemu walipokaa wachumi waliobobea na wahasibu na wakaguzi wa ndani wa mahesabu, panafanyika vituko hivi. aibu
Mwandishi wa gazeti anasema "THE Bank of Tanzania (BoT) made excessive payment of legal fees at the tune of 5bn/- to Mkono and Company advocates during the last financial year"
Mwaka huu tutaona mengi sana!!Hapa kuna mchezo lazma..first chenge , now mkono whose next?? Kweli lowassa kaamua kutokufa alone...
END OF THE DAY TANZANIA BENEFITS..Wacha waendelee kuchafuana tuu...
Upinzani kazi kwenu 2010..all the reasons why people should not vote for CCM are out in the open!!
nziku & Kuhani Mkuu, heshima kwenu
nadhani hamjamwelewa KubwaJinga alivyosema. Kwa kawaida, BOT inafanya malipo baada ya kuletewa Invoice na mdai. Kama imemlipa Mkono kiasi hicho cga fedha, basi kilitokana na invoice iliyoletwa na Mkono. Hivyo kwa vyovyote vile, lazima Mkono anahusika katika malipo hayo kwa sababu ni yeye aliyekuwa anaandika kiasi cha fedha ambazo anatakiwa kulipwa. kama aliandika invoice yenye fedha kidogo, halafu BOT wakazidisha, alitakiwa kuhoji malipo ya ziada yametokea wapi? hakufanya hivyo!
Asante Mkuu Mpita Njia, umenikumbusha suala la maana sana la invoice. lakini bado BOT hawawezi kukwepa kosa kwani walikubali kumlipa Mkono zaidi ya kiwango. Kosa la Mkono ni kutoa madai ya uongo (kudai zaidi ya malipo stahili).