ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,040
- 7,303
Usafi ndio sera yetu, siwezi hatasikumoja kubariki wezi wa fedha za masikini. Ni vyema na haki mkono kumiliki au kuwekeza kwa fedha halali. Kwanza ajisafishe aliitwa fisadi hakwenda mahakamani kama alivyosema yeye ni mwizi na fisadi. Hatuwezi kubali kodi zetu ndizo ziwe mitaji ya wachache.
Nakataa tena nasema hapana mkono rudisha fedha zetu kwanza uende jela kama wezi wengine. ukitoka jela wekeza.
Nadhani mahakamani mtu mharifu hupelekwa na si kujipeleka.
Unajua Tanzania kuna wanasiasa wanajichukulia umaarufu kwa kupiga kelele lakini hawafanyi kinachostahili ili kutatua tatizo.
Mwenye vidhibiti vya ufisadi wowote ule apeleke kesi mahakamani halafu alete bili ya kuendesha kesi, tutamchangia. Jukwaa na malalamiko hayatatui kitu!!!