Nimrod Mkono na Mkono Advocates watch

Nimrod Mkono na Mkono Advocates watch

Usafi ndio sera yetu, siwezi hatasikumoja kubariki wezi wa fedha za masikini. Ni vyema na haki mkono kumiliki au kuwekeza kwa fedha halali. Kwanza ajisafishe aliitwa fisadi hakwenda mahakamani kama alivyosema yeye ni mwizi na fisadi. Hatuwezi kubali kodi zetu ndizo ziwe mitaji ya wachache.

Nakataa tena nasema hapana mkono rudisha fedha zetu kwanza uende jela kama wezi wengine. ukitoka jela wekeza.


Nadhani mahakamani mtu mharifu hupelekwa na si kujipeleka.

Unajua Tanzania kuna wanasiasa wanajichukulia umaarufu kwa kupiga kelele lakini hawafanyi kinachostahili ili kutatua tatizo.

Mwenye vidhibiti vya ufisadi wowote ule apeleke kesi mahakamani halafu alete bili ya kuendesha kesi, tutamchangia. Jukwaa na malalamiko hayatatui kitu!!!
 
Mzee zemacorplo.
Mkono alitishia kwenda mahamani kujisafisa mara alipohusishwa na ufisadi.
Yeye kama mwanasheria maarafu wote tulizani sasa mambo mwake. Akaingia mitini kwa maana hiyo zile si tuhuma tena bali ni ushahidi kwamba yeye ni mwizi amepata fedha isivyo halali ni jasho la masikini. Mtu kama huyu hawezi wekeza kwa manufaa ya jamii bali subirini mchanga wa macho.

Fisadi ni mwizi na fedha za wizi si sawa na fedha za kazi , huyu hataweza biashara atakaanga wananchi amezoe kuchotewa fedha bila kazi pale BOT kweli leo ataweza fanya kazi na kuheshimu waajiriwa, kulipa kodi na kuendeleza soko la ajira, tusikurupuke.

Nitawakataa wezi wa mali ya wanyonge kwa nguvu zangu zote, hata kifo kitakaponichukua.
 
"MBUNGE wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono, amesema ana uwezo wa kuendesha mgodi wa dhahabu wa Buhemba ulioko mkoani Mara kama serikali ikimruhusu kuumiliki"

That is very interesting, ndio usanii wenyewe huu in kind. Kama sijakosea huyu jama ni mwanasheria(labda anataaluma nyingine ambaye haifahamiki) sasa sijui anataka kuendesha mgodi kivipi, au anajua nini kuhusu kuendesha migodi. Mwandishi wa habari angemuuliza kama ana experience au knowledge yoyote ya kuendesha migodi
 
Mzee zemacorplo.
Mkono alitishia kwenda mahamani kujisafisa mara alipohusishwa na ufisadi.
Yeye kama mwanasheria maarafu wote tulizani sasa mambo mwake. Akaingia mitini kwa maana hiyo zile si tuhuma tena bali ni ushahidi kwamba yeye ni mwizi amepata fedha isivyo halali ni jasho la masikini. Mtu kama huyu hawezi wekeza kwa manufaa ya jamii bali subirini mchanga wa macho.

Fisadi ni mwizi na fedha za wizi si sawa na fedha za kazi , huyu hataweza biashara atakaanga wananchi amezoe kuchotewa fedha bila kazi pale BOT kweli leo ataweza fanya kazi na kuheshimu waajiriwa, kulipa kodi na kuendeleza soko la ajira, tusikurupuke.

Nitawakataa wezi wa mali ya wanyonge kwa nguvu zangu zote, hata kifo kitakaponichukua.

hivi mwandazimu akikutukana na kukwambia wewe si mwanamme kamili na unajua kuwa mwandawazimu kunyamaza kimya ndio inamaanisha maneno ya mwendazimu ni sahihi?


kunyamaza si kushindwa ni werevu wa kutosha
 
Huyu baba sasa naona tembo analitia maji. Amesifiwa kama mgema mzuri (mjasirimali mzawa) na sasa naona tamaa inataka kumpeleka pabaya. Unajua, hata milki zilizokuwa kubwa kupita kiasi zilianguka? Tukumbuke utawala wa Warumi, Ottoman na hata wa Chaka. Tawala zote hizi zilianguka kutokana na ukubwa kupita kiasi.

Mh. Mkono ana wazo zuri lakini haimaanishi ni yeye tu ndio afanye kila kitu. Ni vema angebakia kwenye sheria na siasa, halafu awasaidie wazawa wenzake wanaohenya kwa kuwapa mikopo nafuu kutoka benki yake ili wajitutumue na kuendeleza Buhemba.
 
Niliwahi sikia kuwa alipendekezwa na Marehemu Baba wa Taifa "eti" ndio awe mrithi wa BWM...wadau wanalijua hilliii???hilo jambo ndilo lililompa chart hata kwa Pres aliepita...........
 
Hivi wanafunzi walio Urusi na eeh Ukraine wanasomea Arts peke yake?
 
Niliwahi sikia kuwa alipendekezwa na Marehemu Baba wa Taifa "eti" ndio awe mrithi wa BWM...wadau wanalijua hilliii???hilo jambo ndilo lililompa chart hata kwa Pres aliepita...........

Skills4ever,

Salaam, kwa taarifa yako Mwalimu hakuwa anamuhitaji hata kusikia sauti ya Huyu Nimrod Mkono kwa sababu ya ufisadi wake wa toka zamani. Mkono ana mkono ktk ile scandal ya kuungua benki kuu miaka ile, mchonga hakumweka kizuizini kwa sababu ya kuheshimu tu kwao.

Ila nasikia Kambarage kuna siku alisusia ndege pale Musoma kwa sababu jina la Mkono lilionekana kwenye manifest.
 
Aistudanganye huyu kuwa ana uchugu na nchi yetu!! arudishe hizo dola alizochukua BOT kwanza!!1
 
Huyu Mkono ni fisadi tuu, kwanza arudishe zile bilioni 13 alizochukua pale BOT ndipo aweze kuzungumza na kusikilizwa huyu.

Mgodi ulikuwa jimboni kwake miaka yote hiyo hadi unafilisika alikuwa wapi ?
Mbona hakuwahi kusikika Bungeni hata siku moja akiwa anazungumzia jambo hilo kwa muda wote wa miaka 10 ya Mkapa?

Mbona aliwaacha wananchi wake wakateswa na wawekezaji wezi kwa muda wote huo?

Huyu anatafuta kuungwa mkono jimboni kwake kwani tangia awe kwenye list ya aibu ya mafisadi jimboni kwake anawakati mgumu sana kujitetea hivyo anatafuta kitu rahisi kilichokaribu na wananchi aweze kujifanya kuwa anawatetea.

Bodi ya mikopo anayoiongoza inanuka ufisadi sdasa anataka tumpe na madini yetu tena?Alizochukua BOT hazikumtosha huyu?

Mwizi ni mwizi tuu mpaka atakapodhihirisha kuwa ameacha kazi hiyo.
 
Nadhani Bank M ndio wanataka kuchukua mgodi wa Buhemba!!!!!!! Jeetu Patel!!???? Ben!!!!
 
Another Vanity under the sun!

-Wale wawekezaji walipiga wanakijiji risasi wakaua na Mkono akaenda akawapa tumaini serikali ingeshughulikia hilo suala hadi leo hamna kitu?
-Baadhi hawajalipwa mafao baada ya mgodi kutoweka kama mbuge na mwanasheria amewasaidiaje?
-Mkono amekuwa mwanasiasa(mbunge wa Musoma Vijijini) baada ya Mwl Nyerere kufa kwa nini?umaarufu wake kwa nini uje baada ya kifo cha mwl?
-Huyu Mkono na Mkapa urafiki ulianzia wapi mpaka wakapata Benk M?Wanaokumbuka ile kesi ya mil 700,kuna mtu mwenye jina kama hilo alikuwa wakili akimtete Lyatonga kwenye kesi hiyo.
No way,huyu anatafuta matakwa yake mwenyewe wala si kwa ajili ya nchi na wananchi wa jimbo la Musoma Vijijini.
 
Haya mambo ya jukwaani bwana! Kwa nini asiandae proposal halafu awepelekee? Au nae anataka apewe tu!
 
Huyo Mkono naye myeyushaji tu.. tu wakati tulikuwa na vijana karibu thelathini wanaosomea Sayansi kwenye vyuo kule Ukraine ambao bodi anayoingoza iliwanyima mikopo yao na kuwalazimisha kurudi nyumbani yeye alikuwa wapi? Mbona hakuwatetea? Vijana hao wangekuwa wanamaliza masomo yao mwakani!

Leo anakuja kuilalamikia serikali kwa kutokusomesha vijana wetu masomo ya Sayansi!? Uzugaji mwingine bwana...
 
This issue highlights why we need a strong and detailed ethics bill to go through parliament immediately.

A few fortnights ago, this very same Mkono was raising question on the august floor of our bunge about who owns Buhemba.Because Mkono doubles as lawyer to at least one mining international conglomerate in Tanzania, this looked rather suspicious.

Come to find out, Mr. Mkono was using his representative position and privilege in parliament for personal motives. A few years ago, as first reported by the Guardian of 20th October 1994, some British MPs, notably Tim Smith, David Tredinnick, Graham Riddickand Neil Hamilton were disgraced in the "Cash for Questions" scandal, these MPs were alleged to have been paid by businessmen, notably Mohammed Al-Fayed to ask questions in parliament.

More details on the issue is available here

My worry is that Mr. Mkono, in soliciting information by using his parliamentary privileges not only abused his public capacity in a way motivated by his private interests, but was able to go a tad beyond the "Cash for Questions" dishonour with no outrage.Is anybody following what these MPs are saying and doing?

Zitto are you out there? This is one sort of scenario we need to focus the details of the ethics bill on.
 
Ajisafishe kwanza ili ukweli ufahamike,vinginevyo fedha za masikini wa nchi hii haziwezi kuwa mtaji wa fisadi mmoja. akijisafisha na tukaridhika,itakuwa jambo jema kuwa na mwekezaji mzawa katika sekta ya madini.
 
Ajisafishe kwanza ili ukweli ufahamike,vinginevyo fedha za masikini wa nchi hii haziwezi kuwa mtaji wa fisadi mmoja. akijisafisha na tukaridhika,itakuwa jambo jema kuwa na mwekezaji mzawa katika sekta ya madini.
Huyu ni wa kurudisha hela zetu alizokomba kule BOT si wa kujisafisha wala kujitakasa.Tusidanganyike kirahisi hivi kwa watu wanaotupaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
 
kuendesha mgodi sio siasa mkono!
haihitaji short-cut ambazo mafisadi wamezoea

kweli kuna wazawa wanaweza kuendesha large scale mining!

Wanakopesheka hawa?

Je bank gani za kimataifa zitakopesha mtu ambaye hawezi rudisha, manake wengi wazawa mikopo yao ni default! mfano waliokopa BOT eg mzee wa mabomu!

Kunahitajika uadilifu wa kisiasa na kama mzawa ndio upewe mgodi!
 
...this very same Mkono was raising question on the august floor of our bunge about who owns Buhemba.Because Mkono doubles as lawyer to at least one mining international conglomerate in Tanzania, this looked rather suspicious.

Come to find out, Mr. Mkono was using his representative position and privilege in parliament for personal motives.

My worry is that Mr. Mkono, in soliciting information by using his parliamentary privileges not only abused his public capacity in a way motivated by his private interests...

Zitto are you out there? This is one sort of scenario we need to focus the details of the ethics bill on.

Sheria Bongo zina mapungu. Lakini katika hili la Mkono kama ni kweli anatumia Ubunge kutafuta details na info za wamiliki wa migodi ili kusaidia wateja wake Kampuni za migodi (kama anao), au kujua amtafute nani amuuzie Mgodi, basi sheria nadhani hapo iko wazi, na Mzee hapa anafanya blatant disregard of the law.

Inawezekana Mzee anavunja hivi vipengele:

The Public Leadership Code of Ethics Act, 1995-13
Section 6(e)
in relation to public interest, that on appointment or election to office, and thereafter, public leaders shall so arrange their affairs as will prevent real, potential or apparent conflicts of interest from arising...

Section 6(h)
in relation to insider information, that public leaders shall not knowingly take advantage of, or benefit from information which is obtained in the course of their official duties and responsibilities and that is not generally available to the public.
 
Back
Top Bottom