Nimrudishie hela yake au nikaushe tu?

Nimrudishie hela yake au nikaushe tu?

Liwagu

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2017
Posts
5,593
Reaction score
6,754
Jana nilikuwa na PC yangu mapambano apa Board Room, tukapiga bia tam kadhaa nikaona simuelewi elewi nikamwambia oya, sina mipango leo ningekufyatua chap chap.

Akasema ulijuajee, hatamimi nilikuwa nashindwa tu kusema. Nikamwambia ndio ivyo sina kitu akasema atazamini pambano ila leo lazima nimrudishie mpungawake, hahahaaa daah nacheka sana.

Nikamwambia poa tu. Tukapanda kigorofani hapa jirani na jina la mwanamziki mmoja dogo maarufu wa nigeria, " nimeficha jina kidogo" Kazi ikaendelea kama vita.

Mhmmmmmm, leo tumesalimiana fresh nimejifanya kama hakijatokea kitu,badae kidogo katuma msj kama 8 hivi anakumbushia mpunga wake mi nimekausha sjajibu kitu.

Naombeni ushauri wakuu nimtumie amaniendelee kukaushatu.
 
Rudisha pesa ya watu kama mlivyokuwa mmekubaliana.
Si ni wale dadaz? Atakujazia shazi funga mwaka upate aibu.
Hapana mkuu sio dadaz nimtu wangu kitambo tu, minaona sio sawa angekausha tu maana hata mimi nagaramika sana kwenye mitoko yetu alafu nimfanya kazi taasisi nashindwa kumunelewa.
 
Umemkopa!!!!!
Nop, nimtuwangu almost 6 years sasa hatulipani kwenye hiyo michezo labda kama kunasupport namwezeshaga ila mara chache sana sababu anajiweza. Ila wakatiwote hajawahi kulipia game wala malazi hata mara moja.
Kwa mara ya kwanza jana ndio kalipia malazi baada ya kumwambia sinakitu sasa leo ndio anijazia saver kwa mameseji ya kuulizia mshikowake tulio tumia.
 
Hakuna kitu inakera kama hii....kmamaeeehhhh kama nyg zinaua ni bora kusubiri tu zikutoe roho.

Rudisha pesa ya watu, pesa ukope, uchi ukope mxyuuuu.
Hahahaaa sijakopa uchi mkuu, nimtuwangu miaka mingi sana na ilitokea bahati mbaya tu nilimaliza salio tena kwamatumizi yetu wawili sasa dakika za mwisho ndio tukaamua tuka jipopoe, kirafikitu nikamwambia misikopoa bana, akasema atalipia hotel alafu nimrudishie nikamwambia poa sasaleo ndio mamsj kibao anaulizia sijamjibu mbaka saizi. Sitarudisha nione atafanyaje sababu hana njaa niubahili wakishenzitu.
 
Ningekua mimi ndio huyo mwamba, jana hiyo ndio ilikua siku ya kukuacha
 
Back
Top Bottom