Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inabaki buku tano, hadi hapo nshakulipia gharama ya chakulaHahahaaa na wewe bora ukaushe tu nahiyo buku 7 yako, sasa hapo ikikatwa zoto inabaki sh ngapi, ndio walewale.
Hadi leo anakutafuta au..??Sio muuzaji mkuu ni mtu wangu kitambo sana, natumezoeana mbaka tumekuwa kama marafiki ila nashangaa.
Sijawahi kuingia mfukoni kwake miaka yote iyo juzi ndio mara ya kwanza lakini anadai kama vile maisha yameisha.
huyo hafai kabisa ..kama mke mtarajiwa achana nae lkn kama demu tu..mpe hela yakeHuyo mwanamke hakufai, mkimbie!
Nilimpenda binti hadi kumuoa sababu tulipokuwa sehemu fulani alizoea ukiagiza round moja bar yeye anaagiza mbili. Mpaka leo ni mke wangu, akipata million atanigawia laki 5.
Huyo mwanamke angekuwa na akili angekuomba hela ya Sema kununua mboga kwake maana aliharibu budget jana kwa ajili ya starehe. Ukiona mwanamke anag’ang’ania hela na kurudishiana jua ni danga tu! Inashangaza humu pamoja na mahondaw wangu ati umrejeshee, ni aibu
Mie nitatoa elfu 3 jumla atakua kapata elfu 10,Mchango ukipita nitachangia elf 7
Shame on you boy kwa kukimbia deni la watu,Nirudishe nini, ivinyie mnaona kaziyenu ni kumwaga mi genye tu hata mara 9 lakini swala la kugaramia nila wanaumetu.
Yes!, nijukumuletu katika mazingira yetu hasa hapa bongo, lakini mara moja tu kwa miaka nayo pia ukilipia mbaka ulipwe? Shame on you girls.
Yes, katuma msj 2 tu anaita My, namuambie niambie hasemi kitu.Hadi leo anakutafuta au..??