Nimrudishie hela yake au nikaushe tu?

Nimrudishie hela yake au nikaushe tu?

Mkuu, ivi mtuwako pamanent unamwambia ungekuwa na mipango unge mgegeda alafu anadakia anasema mimi nitalipia lakini urudishe na anauwezo wakati kipesa we unamjibu nini.

Alafu miakayote wewe ndio unafanya kilakitu kuanzia usafiri malazi mitungi clab namengine meeeeengi, kumbuka hapo yeye anapesazake lakini hatumii kwa namna yoyote kwa miaka, then just one day ok, one day tena kulipia loge tu, chakula mitungi usafiri kilakitu ume sot out mwenyewe.

Alafu asubui anakutumia msj eti nirudishie elayangu, tena anamaanisha kabisa unamuelewaje.

Hawa madem nitatizo wanafeli kwenye vitu vidogosana.
Mlipe af pia chini huyo demu..

Demu linaroho mbaya kama nyoka..ulivyomwambia huna utaampa baada ya yeye kuanza kudai ilibidi hata akujibu sawa baby wangu,eti mwenyewe kazira..pumbaf..

Mlipe af pia chini..easy.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake ni wabinafsi Sana. Wachache mnoo wasio wabinafsi. Mwanamke unampa mtaji wa biashara, anaingiza pesa. Hata zawadi ya leso tu hakupi.
 
Unafikiri roho ya ubinafsi inanitawala km huyo mtu wako? Kwa asili tuko wabinafsi ila tunazidiana jinsi ya kuuficha, siwezi kuumia kwa kutoa laki moja kwa mtu wakati mtu huyo huyo amewekeza zaidi ya milioni kwangu
Yeeeees, huo ndio ukweli wenyewe kama uko hivyo then your in right truck, keep it up.
Ukiwa kama hivyo pia kunauwezekano mkubwa wa kupata mshiko mwingi zaida, mkono unao toa ndio unaopokea zaidi.
 
Mlipe af pia chini huyo demu..

Demu linaroho mbaya kama nyoka..ulivyomwambia huna utaampa baada ya yeye kuanza kudai ilibidi hata akujibu sawa baby wangu,eti mwenyewe kazira..pumbaf..

Mlipe af pia chini..easy.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilimwambia subiri akakausha mbaka usiku ndio anajibu SAWA'. Namimi sijatuma msj nyingine yoyote kwake tunaangaliana tu on line, hahahaaa
 
Wanawake ni wabinafsi Sana. Wachache mnoo wasio wabinafsi. Mwanamke unampa mtaji wa biashara, anaingiza pesa. Hata zawadi ya leso tu hakupi.
Wengine wana michezo ya kupeana pesa, some time mwanamme anamlipia karibu ℅ 80 ya huo mchezowao siku akipokea milion yake mjaribu kumuambia ebu nipe laki moja ninunue mahitaji ya home utasikia majibuyake.
 
Huna tofauti na jamaa flani mhuni mhuni alipata bibi w kizungu akawa anapewa mpunga wa kuspend kila siku..
Ila akaona haitoshi akawa anamuuza kw uhamiaji kwmba permit yke imeisha..
Ubaya na uzuri wa askari wakishpewa hela wanakutaja.mama kila akiambiwa haamini km jamaa ake ndo anamuuza.
Huyo ndo mbongo bana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mmezoea kula za wenzenu

Bana wee kausha mwana

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Nakausha mwanangu ila najua tukikaa sawa kuna siku atajaribu kupiga mzinga kwa njia nyingine ili ku cover gape lake haya majitu yana mbinu nyingisana bora yasinge kuwepo duniani hahahahaa.
 
Huna tofauti na jamaa flani mhuni mhuni alipata bibi w kizungu akawa anapewa mpunga wa kuspend kila siku..
Ila akaona haitoshi akawa anamuuza kw uhamiaji kwmba permit yke imeisha..
Ubaya na uzuri wa askari wakishpewa hela wanakutaja.mama kila akiambiwa haamini km jamaa ake ndo anamuuza.
Huyo ndo mbongo bana.
Hujui kulinganisha mambo mkuu, ukinisoma vizuri utaona tofauti ya mimi na huyo jamaa.
 
Kwanza hii tabia mbaya sana, yani hadi nmepata hasira..... wanaume wa hivi wauliwe 😂😂
Na nyie wapenda vitonga mfanyweje 😅?
Mapenzi wote mnainjoy ila kila siku unataka wewe ubebwe tu! Siku moja moja na wewe utoboke mzee...
 
Back
Top Bottom