King Mbappe
JF-Expert Member
- Jul 26, 2018
- 1,195
- 2,053
bro mimi sijakataa. ila kama unahisi mtu wako ni mbinafsi kwanini usimuache kwa wema tu hata siku nyingine mkikumbukana mnaweza kuyajenga tena. ila unachofanya wewe ni kumkomoa mkuu.Don' be stupid, be a man,
YES!. i am a man enough.
Tuache kuwaendekeza wanawake some time wana makusudisana sio ishu kama hiiyangu tu namengine mengi wanaskilizia pesazao sana haijalishi anakipato ama hana they just ndo'nt want to spend they're income.
mlipe hela yake then usiwe unamuita kwenye mitoko yako coz inaonekana unamuitaga sana na unapenda kampani yake halafu mwisho wa siku unakuja kulalamika hugharamikiwi.
kama unamtafutaga mtoke out hutakiwi kulalamika, na hata kama anakutafutaga mtoke out bado hutakiwi kulalamika coz ungeweza kumwambia sina hela au hujiskii.. ila bado unamkubalia na mnatoka out kwa gharama zako. sasa iweje umuone mbinafsi au hapendi kugharamia outings wakati umeshamzoesha kulipia kila kitu?
mlipe tu bro hutapungukiwa kitu. usivurugane nae kwa jambo dogo kama hilo coz mnaonekana mko peace sana.
hilo jambo la ubinafsi linakusumbua wewe sio yeye coz yeye anachoona ni kwamba unapenda kumtoa out na si vinginevyo.