Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😳😳😳🚶🚶🚶Nawewe jifunze ku facilitate mgegedo sikumoja bana inaongeza hari ya mapenzi.
Mpe tu mkuu siku nyingine atashindwa kukuhifadhi. Ila siku nyingine mwambie huna kabisa Nina Imani atafadhili show mwenyewe bila kukopeshaHapana mkuu sio dadaz nimtu wangu kitambo tu, minaona sio sawa angekausha tu maana hata mimi nagaramika sana kwenye mitoko yetu alafu nimfanya kazi taasisi nashindwa kumunelewa.
AkaaaaaaNini, acheni ubahili, jaribu kulipia sikumoja uongeze thamani yako.
Bado mkuu, ila upande wa pili huku bar maisha yanaendelea kama kawaida full live bend lainiiii jioni!.Hiyo lodge si iliteketea yote kwa moto wiki iliyopita? Ishakarabatiwa?
Nilijua yote, upande wa pili hapo gorofani napajuaBado mkuu, ila upande wa pili huku bar maisha yanaendelea kama kawaida full live bend lainiiii jioni!.
Kama wemwenyeji kidogo hapa ukisoma uzi vizuri utajua naongelea chimbo gani around this area.
Sijawahi kumuambia afadhili hata sikumoja nataka angalau sikunilipokuwa sina nayeye afadhili minaona kawaidatu nalabda haitatokea tena maana natambua wajibuwangu kama mwanaume.Mpe tu mkuu siku nyingine atashindwa kukuhifadhi. Ila siku nyingine mwambie huna kabisa Nina Imani atafadhili show mwenyewe bila kukopesha
Punguza makasiriko..... umeachika no?😂😂Ningekua mimi ndio huyo mwamba, jana hiyo ndio ilikua siku ya kukuacha
Sikia hamna aliyekushikia kiuno Hulu...... Hawa mafeministi wa bongo njaa tu....wanataka usawa isipohusu fedha... Huyo manzi we ndo wa kumpangiaSijawahi kumuambia afadhili hata sikumoja nataka angalau sikunilipokuwa sina nayeye afadhili minaona kawaidatu nalabda haitatokea tena maana natambua wajibuwangu kama mwanaume.
Naweza ila bajeti haizidi buku ten, kwa mchanganuo ufuatao...Mmmmh, iviwe unaweza kumnunulia zawadi boy friend/ mumewako kweli wewe!!!.
Mbona kawuzu sana wewe!!!!.
Mkuu hujawahi kupata emergency ukaishiwa katika muda flani? Kama nihivyo basi vigumu kuelewa ninachoongea.Huna hela, nguvu na nyege za kutiana unatoa wapi!? Umasikini huo.