Liwagu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 5,593
- 6,754
- Thread starter
- #21
Sio mtu wa vurugu sababu tumezoeana sana ila nimemshangaa kudai arudishiwe pesa yake ya malazi, nawaza labda atakasirika tu namwisho sijui atafanyanini.Huyu mtoa mada anakijua kisasi cha Mwanamke ngoja aoneshwe shoo atajua hajui
Kwangu mimi nisha amua akiminde poatu.