Tyrone Kaijage
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 1,617
- 3,405
Mkuu hujawahi kupata emergency ukaishiwa katika muda flani? Kama nihivyo basi vigumu kuelewa ninachoongea.
Then ukiwaunatekemea nguvu na nyege mbaka uwe na ela mfkoni basi utamenyeka sana.
Some time ukikwama kidogo dem anaweza kuwezesha mambo tu hasakama anamishe zake kama huyu anaenidai mm
Maana yangu ni kwamba kama hauna hela mfukoni unapataje ujasiri wa kukubali mkatiane halafu umlipe hela mnayotumia huko lodge?
Unavunga tuu, jaribu ku control hisia zako na hali unayokuwa nayo around. La sivyo ndio hapa lawama hizi. Hapo inabidi tuu umlipe kwa kuwa nyege zilikufanya ukubali utalipa, nyege zimekutoka sasa unataka usimlipe, kuwa muungwana acha maelezo mengi.....umeyataka mwenyewe