Nimrudishie hela yake au nikaushe tu?

We ungemwambia mi sikulipi bana on the spot halafu angegoma kila mtu angechukua 50 zake! We ushajicommit utalipa so lipa tu mzeeπŸ˜…
 
Ningekua mimi ndio huyo mwamba, jana hiyo ndio ilikua siku ya kukuacha
Unaonekana umeachwa sana mremboπŸ˜… shukuru mungu ulikutana na Mgodi mapema maana hadi sasa ungekuwa na Yutong 3
 
Hapana mkuu sio dadaz nimtu wangu kitambo tu, minaona sio sawa angekausha tu maana hata mimi nagaramika sana kwenye mitoko yetu alafu nimfanya kazi taasisi nashindwa kumunelewa.
Hiyo ya kwako mlikubaliana kuwa atarudisha? Ulipaswa umwambie haitarudi kama tunaenjoy tuenjoy kama haiwezekani sawa.
 
Nature ya wanawake wetu hiyo mkuu, wewe zoea tu ni kawaida kwao kufanya hivyo. Ungekuwa umedate na mataifa mbalimbali ungeiona tofauti kubwa tu, wa kwetu wapo katika kupokea tu, siku akikupa anahisi kupoteza sana.

Ulipokosea ni kukubaliana malipo, wtf umlipe girlfriend wakati mnaenjoy pamoja, au ulimnunua kwa night moja? Angesema twende then kesho rudisha hela yangu ningemwambia tuahirishe, then sidhani kama tungetafutana coz hana tofauti na muuzaji.
 
Sio muuzaji mkuu ni mtu wangu kitambo sana, natumezoeana mbaka tumekuwa kama marafiki ila nashangaa.
Sijawahi kuingia mfukoni kwake miaka yote iyo juzi ndio mara ya kwanza lakini anadai kama vile maisha yameisha.
 
Na nyie wapenda vitonga mfanyweje πŸ˜…?
Mapenzi wote mnainjoy ila kila siku unataka wewe ubebwe tu! Siku moja moja na wewe utoboke mzee...
Nshatoboka nikitoboka tena natoboka mara ya pili ujueπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nshatoboka nikitoboka tena natoboka mara ya pili ujueπŸ˜‚πŸ˜‚
Hata ikiwa mara 10 sio hatari, kumbuka unaemringia anaweza kukulisha kwa miaka 60 bila kelele!
Tuwe na mioyo ya shukurani na huruma!
 
Sio muuzaji mkuu ni mtu wangu kitambo sana, natumezoeana mbaka tumekuwa kama marafiki ila nashangaa.
Sijawahi kuingia mfukoni kwake miaka yote iyo juzi ndio mara ya kwanza lakini anadai kama vile maisha yameisha.
Ni mkeo mtarajiwa?
 
Pesa ya watu ushalipa au unatujazia essay tu humu,
Kama huna sema uchangiwe ila dawa ya deni ni kulipa sio kukimbia yakheee.
Nirudishe nini, ivinyie mnaona kaziyenu ni kumwaga mi genye tu hata mara 9 lakini swala la kugaramia nila wanaumetu.

Yes!, nijukumuletu katika mazingira yetu hasa hapa bongo, lakini mara moja tu kwa miaka nayo pia ukilipia mbaka ulipwe? Shame on you girls.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…