Nimsaidiaje huyu best yangu anayefilisiwa na Forex?

Nimsaidiaje huyu best yangu anayefilisiwa na Forex?

Kuna jamaa amechukua mkopo Benki wa miaka saba,kama mil 12 hivi.akaweka forex.Alikula kama wiki moja hivi,baada ya hapo wamekomba mamilioni yote.Mchizi kachanganyikiwa mnoo,maana take home yake kwa sasa ni 310k.
 
Heheheheh hio inaitwa Take risks

Huyo alikurupuka Sana usikute hTa kuchora trendline hajui
 
Acha kufuatilia hustling za watu, huenda yeye anaamin one day atatoboa kupitia forex

Tatizo wew unamkatisha tamaaa
Hivi unaijua FOREX vizuri??? Inshort hiyo ni miradi ya watu uko Ulaya, Ingekuwa rahisi kila mtu angekimbilia huko.
Jamaa amechoka mbaya ungemuona ungemhurumia
 
Amesha pata uraibu wa forex,maana Kama umemshauri hataki mwache apigwe atakuja ashtuke tu na maana wasemi hunena kuwa kupanga ni kuchagua.
Nawaza kumuacha lakini roho yaniuma asee, he Is like a brother to me. I real wanna help him.
 
Usimkatishe tamaa.
Mimi nimeacha kazi nilikuwa meneja mauzo Vodacom kanda ya kaskazini nikaaacha kazi.
Nimejenga sasa nina usafiri nimeoa....
Ninaishi maisha yangu ninayotaka.
Huyo anakosea mahali anichek nimtumie vitabu 9 tu akimaliza kusoma atafaidi.
Tatizo letu hatutaki kusoma...tunapenda kutumia maarifa ya waliosoma huko kwenye magrup.
Ungekuwa na nia njema kweli ungeviweka hivyo vitabu hapa wazi
 
Nawaza kumuacha lakini roho yaniuma asee, he Is like a brother to me. I real wanna help him.
Ukiendelea kumshauri hata huo urafiki utaukosa,maana kwa Sasa yeyote anayempinga anaona Kama adui anayemkusudia mabaya kwake,Kama unaweza mshitaki kwa wazazi wake.
 
Usimkatishe tamaa.
Mimi nimeacha kazi nilikuwa meneja mauzo Vodacom kanda ya kaskazini nikaaacha kazi.
Nimejenga sasa nina usafiri nimeoa....
Ninaishi maisha yangu ninayotaka.
Huyo anakosea mahali anichek nimtumie vitabu 9 tu akimaliza kusoma atafaidi.
Tatizo letu hatutaki kusoma...tunapenda kutumia maarifa ya waliosoma huko kwenye magrup.
Chai.
 
Kwangu forex ndio inaniweka mjini..nimepaga Nyumba kwa sababu ya forex na ninaishi kwa sababu ya forex..huyo kuna kosa analofanya..na ni la kawaida nalo ni kwamba hana business plan ya daily au malengo..na hasa anawaza utajili wa haraka kupitia forex kitu ambacho sio ukweli...
Lakini huenda anategemea signals za kwenye magroup hayo anayolipia kitu ambacho ni kosa kubwa sana kwenye forex
Zaidi atafute mwalimu wa karibu Ili amfundishe hakika atafanikiwa

Overtrading inamtesa
 
Forex ni wizi, ukisha deposit pesa yako, ukianza kutrade tu mapicha picha ya red yanaanza ukija kushtuka pesa imeshateketea kwenye account, hii ni kamari ya matajiri kwa walalahoi wa nchi masikini kama tanzania ni kujiongezea umasikini tu
 
Hahahahah wewe hujui unachokifanya

Wewe una sell kwenye support na kubuy kwenye resistance hahahah lazima mapicha picha uyaone [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom