Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hizi hela ni za bure lazima nizipate.Wakuu wa JF hope mko poa sana na maisha yanaenda fresh pande zenu.
Ninaandika uzi huu kwa uchungu sana kuhusu rafiki yangu wa kufa na kuzikana (he Is like a brother to me), huyu jamaa alijitumbukiza kwenye FOREX yapata mwaka sasa na hakuna kitu amefaidika nacho zaidi ya kupoteza pesa. Jamaa ni student nimekua nikimshauri sana aachane na hiyo miradi ya wazungu huko Ulaya kwani hakuna anachopata zaidi ya kuunguza account every now and then.
Jamaa ana hali mbaya sana kwa sasa ameuza kila kitu hana hata nguo ya kuvaa/kiatu lakini pesa yote ya boom + anayotumiwa kwa matumizi mengine anatumbukiza FOREX. Jana nimeongea nae aachane na hii mishe naona kama ameanza kunichukia flani, daily yupo YOUTUBE anafatilia videos about FOREX, ana groups za Telegram & Whatsapp zaidi ya 50 za mambo hayo ya FOREX na nyingi analipia. Kila nikimpa ushauri ananiona kama mimi ni kikwazo cha maisha yake, he keeps on saying anzia January nakua tajiri namwambia kirahisi hivo anasema we tulia hizi hela ni za bure lazima nizipate.
Then he keeps on saying HELA za FOREX zipo tuu na ni zabure kabisa eti mimi ndio mshamba sizitaki hizo ela za bure. FOREX complications ni nyingi sana, daily ananitajia watu wa uko SOUTH AFRICA waliofanikiwa, namjibu waliofanikiwa ni mmoja kwa milioni Ila haelewi. Bado sijajua aliemdanganya aingie kwenye hiyo mishe ni nani.
Ukimwambia FOREX ni mchezo kama UPATU anamind sana eti nisidharau biashara za watu.
Wakuu nimpe ushauri gani huyu best yangu maana anaangamia mbele ya macho yangu and sitaki kuona hilo linatokea.
Best regards,
Mbao Ya Chuma.
Naomba unitumie ivyo vitabu kwenye email walipendwa@gmail.comUsimkatishe tamaa.
Mimi nimeacha kazi nilikuwa meneja mauzo Vodacom kanda ya kaskazini nikaaacha kazi.
Nimejenga sasa nina usafiri nimeoa....
Ninaishi maisha yangu ninayotaka.
Huyo anakosea mahali anichek nimtumie vitabu 9 tu akimaliza kusoma atafaidi.
Tatizo letu hatutaki kusoma...tunapenda kutumia maarifa ya waliosoma huko kwenye magrup.
Kuna jamaa amechukua mkopo Benki wa miaka saba,kama mil 12 hivi.akaweka forex.Alikula kama wiki moja hivi,baada ya hapo wamekomba mamilioni yote.Mchizi kachanganyikiwa mnoo,maana take home yake kwa sasa ni 310k.
Nani wamekomba akina forex au nani
Umefika na huku [emoji23][emoji23][emoji23]Mwambie ajee nimfundishee
Yeah mkuuKwangu forex ndio inaniweka mjini..nimepaga Nyumba kwa sababu ya forex na ninaishi kwa sababu ya forex..huyo kuna kosa analofanya..na ni la kawaida nalo ni kwamba hana business plan ya daily au malengo..na hasa anawaza utajili wa haraka kupitia forex kitu ambacho sio ukweli...
Lakini huenda anategemea signals za kwenye magroup hayo anayolipia kitu ambacho ni kosa kubwa sana kwenye forex
Zaidi atafute mwalimu wa karibu Ili amfundishe hakika atafanikiwa
Naomba nitumie mkuuUsimkatishe tamaa.
Mimi nimeacha kazi nilikuwa meneja mauzo Vodacom kanda ya kaskazini nikaaacha kazi.
Nimejenga sasa nina usafiri nimeoa....
Ninaishi maisha yangu ninayotaka.
Huyo anakosea mahali anichek nimtumie vitabu 9 tu akimaliza kusoma atafaidi.
Tatizo letu hatutaki kusoma...tunapenda kutumia maarifa ya waliosoma huko kwenye magrup.
Mkuu akikutumia nami nitumieNitumie hivyo vitabu PM mkuu
Usimkatishe tamaa.
Mimi nimeacha kazi nilikuwa meneja mauzo Vodacom kanda ya kaskazini nikaaacha kazi.
Nimejenga sasa nina usafiri nimeoa....
Ninaishi maisha yangu ninayotaka.
Huyo anakosea mahali anichek nimtumie vitabu 9 tu akimaliza kusoma atafaidi.
Tatizo letu hatutaki kusoma...tunapenda kutumia maarifa ya waliosoma huko kwenye magrup.
Pole Sana ndugu yangu nakuona unavyotumia kivuli Cha rafiki yako .Wakuu wa JF hope mko poa sana na maisha yanaenda fresh pande zenu.
Ninaandika uzi huu kwa uchungu sana kuhusu rafiki yangu wa kufa na kuzikana (he Is like a brother to me), huyu jamaa alijitumbukiza kwenye FOREX yapata mwaka sasa na hakuna kitu amefaidika nacho zaidi ya kupoteza pesa. Jamaa ni student nimekua nikimshauri sana aachane na hiyo miradi ya wazungu huko Ulaya kwani hakuna anachopata zaidi ya kuunguza account every now and then.
Jamaa ana hali mbaya sana kwa sasa ameuza kila kitu hana hata nguo ya kuvaa/kiatu lakini pesa yote ya boom + anayotumiwa kwa matumizi mengine anatumbukiza FOREX. Jana nimeongea nae aachane na hii mishe naona kama ameanza kunichukia flani, daily yupo YOUTUBE anafatilia videos about FOREX, ana groups za Telegram & Whatsapp zaidi ya 50 za mambo hayo ya FOREX na nyingi analipia. Kila nikimpa ushauri ananiona kama mimi ni kikwazo cha maisha yake, he keeps on saying anzia January nakua tajiri namwambia kirahisi hivo anasema we tulia hizi hela ni za bure lazima nizipate.
Then he keeps on saying HELA za FOREX zipo tuu na ni zabure kabisa eti mimi ndio mshamba sizitaki hizo ela za bure. FOREX complications ni nyingi sana, daily ananitajia watu wa uko SOUTH AFRICA waliofanikiwa, namjibu waliofanikiwa ni mmoja kwa milioni Ila haelewi. Bado sijajua aliemdanganya aingie kwenye hiyo mishe ni nani.
Ukimwambia FOREX ni mchezo kama UPATU anamind sana eti nisidharau biashara za watu.
Wakuu nimpe ushauri gani huyu best yangu maana anaangamia mbele ya macho yangu and sitaki kuona hilo linatokea.
Best regards,
Mbao Ya Chuma.
😁 😁 😁 😁 😁 Mkuu unaharibu fursa za watuAcha kupoteza muda mkuuu...!! Huyo anataka akupige pesa PM hukoo...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] Ufala wa kujenga kwa Forex bongo ni ndotooo...
Na hicho ndio kinachomponza kudhani hela ni zabure. Nahisi anatamani kuwa bilionea mtoto maana stories zake ni za ela ndefu only.hizi hela ni za bure lazima nizipate.
Then he keeps on saying HELA za FOREX zipo tuu na ni zabure
TELL HIM THAT "THERE IS NO FREE LUNCH IN AMERICA"
hakunaga pesa za bure,,akishajua hlo mwambie airudie tena hyo fx akiwa na different mentality.
Demo ashafanya sana akaona Inalipa akazama real.Kama ni mvivu wa kusoma,ni bora ukakaa mbali na forex.
Alafu huyo ana papara na haraka sana.
Bado hajaifahamu forex,kwa nini asitrade demo kwanza ?