Nimsaidiaje huyu best yangu anayefilisiwa na Forex?

Nimsaidiaje huyu best yangu anayefilisiwa na Forex?

Kwenye mafanikio lazima kuwe na ups and down,kuna vitu anakosea na hayo makosa anayarudia kila Mara hapo itampa wakati mgumu kufanikiwa,ukweli mafanikio yapo katika forex ila wahitaji,elimu sahihi,muda,less tamaa,mtaji,kuipenda forex yenyewe

Arudi akaechini mwezi mmoja bila kutrade,aandikie trading plan yake,malengo yake(goals) ya maisha, ajifunze kutizama chart tu bila Ku open position yoyote ndani ya uo mwezi,ajifunze kuacha pupa,

Apunguze munkari pesa zipo kila siku. Achukue kama hataki na sio kufakamia zitampalia.

Ajue phycology za candlestick and action kabla hajatoa maamuzi

Usimshauri kuacha ila MPE huu Uzi a some

Follow me @ instagram gody_fx
 
Wew nawe acha kiherehere....achana nae...amejifunza...!!ukimsaidia mfa maji...mtakufa wote
 
Ahsante umri wangu miaka 58 nilizaliwa na kukulia uchagani niko kijiji Cha Kapangalamsenga Katavi ,ni kweli ninaweza kusema mimi si maskini hata kidogo.Mimi mjanja hapa wananikubali asilimia mia moja.Karibu kwenye ujasiriamali kwenye sekta ya Kilimo
Mzee kwanza heshima yako

Kilimo siji kuna uzi was walipigwa kwenye kilimo heheheheheh


Mnadhani kilimo hakuna kupigwa

Siku nikihamia kwenye NAKUWA middle man sio producer
 
Mleta mada utapata unachokitafuta, matajiri washaanza kukumezea mate na kukusihi umuunganishe huyo nduguyo.... pitia hapo juu michango ya jrmpya na godimpare utagundua ni promo kali za hatari.
 
Akija kutusua hapo mnaanza kujikomba komba kwenye mafanikio hapakosi changamoto
 
Mazigazi, Upo sahihi sana mkuu mfano kwenye commodities kama mafuta unaweza kupiga hela kuliko kwenye currency
 
1573543887270.png
 
Nina rafiki yangu amepiga shule ya maana na anapata mshahara wenye lishe bora, lakini ni gambler. Mara nyingi ananiomba mimi apeche alolo nimsaidie kufikisha mwisho wa mwezi.
Hahaa mambo ya maapeche alolo katika zile.
 
siku zote matatizo ndio yanamaliza pesa, muhimu sana matarajio yetu yaendane na mishe zetu.
hata upambane vipi katika siku zako za maisha yaliyojaa ubatili kumbuka 'panya atakunywa maji ya kumtosha tumbo lake'

jambo la msingi ni kufanya unachopenda, hili suala la kumezeshana sumu watu wanapiga hela huku na wewe ukaingia mzima mzima kupiga mbizi kwenye lami kutakuhusu.

hivi tunaongea chako kile unacho mfukoni pako saa hii, kijengee fensi au tukajipoze na KVat? [emoji124][emoji124][emoji124]
 
Mzungu sio babako, wayahud wamekaa zao tu na laptop mpunga unaingia, maskin wa Africa ndio wanaoweka PESA.
 
Back
Top Bottom