Kwenye mafanikio lazima kuwe na ups and down,kuna vitu anakosea na hayo makosa anayarudia kila Mara hapo itampa wakati mgumu kufanikiwa,ukweli mafanikio yapo katika forex ila wahitaji,elimu sahihi,muda,less tamaa,mtaji,kuipenda forex yenyewe
Arudi akaechini mwezi mmoja bila kutrade,aandikie trading plan yake,malengo yake(goals) ya maisha, ajifunze kutizama chart tu bila Ku open position yoyote ndani ya uo mwezi,ajifunze kuacha pupa,
Apunguze munkari pesa zipo kila siku. Achukue kama hataki na sio kufakamia zitampalia.
Ajue phycology za candlestick and action kabla hajatoa maamuzi
Usimshauri kuacha ila MPE huu Uzi a some
Follow me @ instagram gody_fx