Nimsomeshe kisha nimuoe aje kua mke(akimaliza form four)

Nimsomeshe kisha nimuoe aje kua mke(akimaliza form four)

Yuko under 18 na anaanza form one mwakani
Huyo ni mtoto usimwekee malengo hayo. Kama kumsaidia we msaidie tu kama sadaka. Akikua ndo ataamua mwenyewe. Toa tu msaada kama mdogo wako maana ukimwambia mambo ya mapenzi utampoteza na utamharibu. Angalau amalze form4 ndo umwambie hayo dah
 
Ni wanawake wachache ambao utawatoa ujinga na watalipa fadhira wengine akishajiendeleza tuu inakua imekula kwako
 
Mkuu nikisema huna akili nitakuwa nimekosea?! Nawaza tu lakini
 
Somesha tu, huku ukipiga mzigo kimya kimya ili hata akija kuzingua mbeleni walau utakuwa na chakujifariji, kwa jinsi utakavyo kuwa ume 'penetrate' kwenye extension joint yake.
 
HHAHAHA MKUU UNAMSOMESHA MTU AMBYE HAJUI LENGO LAKO? KWA HYO ATAKUWA ANAVULIWA NGUO NA WENGNE COZ HAMNA MKATABA KAT YENU
 
Kila siku tunawaambia , mchumba hasomeshwi . Sasa we somesha tu
 
Ukweli hajui kma ninania hiyo, ila akiniona anaaibu sana na muda mwengine hujificha , sijajua kma hanipendi au nini, ila mimi namkubari sana ingawa najua safari sio ndogo mana four years ahead apo kati kunamengi

Mwache dogo asome mkuu, utakula 30 yrs in jail
 
Wewe katika kukushauri, hautakiwi kuelezwa kisiasa kwa kumumunyiwa waneno, unatakiwa upate ushauri dry!
Maana mada kama hizi ziliishajadiliwa sana jf na conclusion ilipatikana baada ya utafiti mwingi kufanywa na watu mbalimbali na kubaini kuwa, jukumu la kusomesha mtoto wa kike ama mchumba ni jukumu la wazazi wake.
Jukumu lako wewe ni kuposa, kutoa mahari na kuoa, full stop.
Kusomesha mchumba ni sawa na kugharamikia kujenga nyumba uwanja wa ukweni Kwa gharama kubwa. Baadaye utakuja jidharau kwa uamzi wako na hakuna msaada wa maana utakaoupata wa kuvuta shuka kumekucha. Achana na hiyo biashara na kama ni mchumba kifupi tafuta mwingine.
 
Nakushauri msomeshe ila fanya kama unatoa sadaka.

Usitake kumtafuna huko baadae.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wacha nicheke tu
 
Kumsomesha mchumba najua kumewaliza na kuwatesa wengi, bahati mbaya au nzuri nami nimeangukia katika mtego huo.

Kutokana na hali ya kiuchumi najua sitaoa kwa miaka miwili mitatu ijayo.

Nimeona nimlee mtoto ambae kwa kweli ni mzuri na anazidi kupendeza.

Yeye hajui chochote, nimeongea na mlezi wake kakubali. Ila najua kuna mawili, ukiacha kifo kututenganisha, ni aje abadilike awe na tabia mbaya au anikatae.

Najipanga kisaikolojia kwa yote huku nikimuomba Mungu kwangu na kwa huyu mtoto asibadilike na aje anipende.

Dua zenu pia ushauri nini naweza fanya kudhibiti tabia na mengineyo kwa wenye uzoefu na wajuzi.
utajinyonga mkuu.mwanamke asomeshwi
 
Masikini nakuona kabisa ukija kujinyonga
 
Back
Top Bottom