Nimsomeshe kisha nimuoe aje kua mke(akimaliza form four)

Nimsomeshe kisha nimuoe aje kua mke(akimaliza form four)

"...yeye hajui chochote, nimeongea na mlezi wake..." Amekuwa bidhaa huyo kiasi cha kuongea na mmiliki yatosha?!
 
Hizo pesa nipe nitie mkeka leo kuna pesa za bure. Baada ya mwaka mmoja nakulipa mara 3 zake. Achana na mambo ya kusomesha mchumba mkuu.
 
somesha kama msaada tu mkuu
hilo lengo lako litokee kama bahati tu... usijipe asilimia zote...
 
Kabla ya yooote mtie kwanza mimba baadaye ndo fanya utalatibu wa kumsomesha lakini kaa ukijua mchumba asomeshwi.
 
MTOTO WA MWENZIO NI WAKO.

TENDA WEMA NENDA ZAKO

ASIE SIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU
 
Kumsomesha mchumba najua kumewaliza na kuwatesa wengi, bahati mbaya au nzuri nami nimeangukia katika mtego huo.

Kutokana na hali ya kiuchumi najua sitaoa kwa miaka miwili mitatu ijayo.

Nimeona nimlee mtoto ambae kwa kweli ni mzuri na anazidi kupendeza.

Yeye hajui chochote, nimeongea na mlezi wake kakubali. Ila najua kuna mawili, ukiacha kifo kututenganisha, ni aje abadilike awe na tabia mbaya au anikatae.

Najipanga kisaikolojia kwa yote huku nikimuomba Mungu kwangu na kwa huyu mtoto asibadilike na aje anipende.

Dua zenu pia ushauri nini naweza fanya kudhibiti tabia na mengineyo kwa wenye uzoefu na wajuzi.
Imeshasemwa Mara nyingi sana...mchumba au girlfriend hatunzwi Wala hasomeshwi
 
Nielekeze mahali anapoishi ili nikusaidie kukulindia ndani ya hiyo miaka minne
 
Imeshasemwa Mara nyingi sana...mchumba au girlfriend hatunzwi Wala hasomeshwi
Ngoja nimsomeshe kma ndugu au msaada nikiweka asilimia 10 za kumpata

Sababu__
Hata nisipomuwazia yy , sioni wa kumuwazia,
Mbili ni mzuri na ametulia sijui abadilike
 
Ukweli hajui kma ninania hiyo, ila akiniona anaaibu sana na muda mwengine hujificha , sijajua kma hanipendi au nini, ila mimi namkubari sana ingawa najua safari sio ndogo mana four years ahead apo kati kunamengi
Kwa TZ tuliyokua nayo sasa, huyo mtoto atakuwa na 13yrs of age(Max)

Unajisikiaje kufikiri kinyume nyume?
 
Do it for your own risk. But kwakweli kwa mtazamo wangu. You are stepping on a landmine
 
Kifupi wewe ni MBAKAJI, na miaka 30 inakuhusu. Acha wendawazimu, wanawake unaowataka wako wengi. Chekecha akili, vya mtelemko vitakugharimu
 
Back
Top Bottom