Nimwache akapange au niondoke mimi?

Dah, ww mtoa mada inaonekana ni mpole, kama story yako ni ya kweli, mmh bhas pole sana mwache huyo mwanamke atakuharibia maisha
 
Achana na huyo mwanamke haraka sana na uende ustawi wa jamii wakupangie ni kiasi gani cha pesa ya kutoa Kia mwezi kwa ajiri ya matunzo ya mtoto!!
 
Achana nae mwanamke ana matumizi makubwa na mabaya ya pesa anakuona fala wake anakuendesha anavyotaka kuwa na msimamo achana nae hauto fanya maendeleo kwa life style hiyo,pole sana nimekuonea huluma
 
Always a man has to be tought... kua mkali
 
Yani kidemu ulichozaa nacho ndo kinasumbua hivyok??? kisa Mtoto??? Kwani hawezi kulelewa na bibi au mwanamke mwingine??? Ogopa kuingia kwenye ndoa kisa tu umezaa na mwanamke ni hatari sanaa bora uhudumie tuu mkishindwana achana nae Nenda ustawi wa jamii sheria ichukue mkondo wake.. Afu inaonekana unampenda kufa ndo maana anakusumbua sana mzee demu uliemzalisha ilibdi akuheshimu sana ilaa yeye hiyo jeuri nadhani itakuwa Kuna wanaume wanampa hiyo jeuri kuwa Bado analipa so hata ukimuacha atapata Mtu...


HUYOO SIO DEMU HATA KWA KUZUGIA HAFAIIIII...UKIOA JUA UMEINGIZA NYOKA NDANI...
 
Jamaa bwege sana demu anamchezea anavyotaka
Yani kisa mtoto...mamaeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tumeumbwa tofauti lakini pia jamaa inaonekana anampenda sana huyo demu yani sanaaaa... Ukute demu mkali alimuonea huruma tu mwanaa... ndo maana jamaa ana pambanaa
 
Sasa amerudi yupo hapa kwangu nilimwambi tuachane anadai nimpe muda ajipange ataenda kujitegemea, but mimi ninafikiria kuondoka tu nimwachie kila kitu nikaanze maisha yangu upya
Huyo kibri tu lakini ukimuacha litachanganyikiwa atampata wapi bwege kama ww
 
Unamvumilia vipi mtu visa vyote hivyo wakati sio mke wako na mahari ujamtolea? Jipange na maisha yako na mtoto wako.
 
Huyo kibri tu lakini ukimuacha litachanganyikiwa atampata wapi bwege kama ww
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jamaa kadata kwa huyo manzi...anampenda sanaa
 
soma kwenye ramaniiiiii
 
Una umri gani? Haya ndio matatizo ya kuingia mapenzini na mtu sababu unamuonea huruma.
 
Najua utaumia kuhusu mwanao ila huyo siyo mke achana nae kwa kweli nimeshikwa na hasira kama wewe ndugu yangu yaani unaendeshwa na mwanamke kiasi hicho na wewe upo nipe hela na wewe unatoa kaka sikujui ila unasitahili fimbo za kichwa ili ufunguke akili na kiufupi tu! Huyo huwezi kumwacha utateseka sana.
 
Serious mkuu umeni nitia hasira sana. ..yani mtu ana kutukana afu kwa hasira una mpa hela[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]...huna adabu kabsa .tuombe msamaha wanaume wenzako kwanzaView attachment 972313
Yaani imeniuma sana hivi kumbe mpaka sasa kuna wanaume wanashikwa kiasi hiki kaka nadhani bado una mayai utazaa tena yule mtoto mwachie kama zawadi ni mwanae hana cha kumfanya kibaya
 
Kwanini upate shida na MTU mmekutana ukubwani. Mwisho wa siku ufe Kwa stress . Stress ni mbaya kuliko ngoma. Mtoto asikupe shida unaweza mpa hata mama ako akakulelea Kwa Mda. Mwache aanze maisha yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…