Nimwache au nilee mimba

Nimwache au nilee mimba

Asirudi nyumban kwako, akae kwao hukohuko usitoe tumizi hata shiling mia Kwa sababu kubwa Moja 'Huna uhakika mimba ni yako"..ni kosa na dhambi kubwa kulea mimba isokua yako au mtoto asokua wako ili hali imetokea Ndani ya Ndoa.

Namaanisha hivi, Bora kulea watoto wa Singo Maza ulokutana naye anaontayari, kuliko kulea mimba ya kuchepukiwa mpaka anazaa namtoto sio wako.

Wewe mwambie am sorry, Lea mimba yako, Zaa , DNA itafata...akiwa Wako utamuita napo utamuita Kwa mashariti mazito kwelikweli.

Akiwa sio wako, potelea mbali, hujapoteza.

Haya Maisha yanahitaji uwe mbinafsi sana kwanza wewe mwenyewe, Kisha uwe mwema Kwa mtu ambaye ni mwema kwako, na Uwe katili Kwa mtu ambaye ni katili kwako

Kamwe USITHUBUTU kuendeshwa na machozi ya mwanamke, machozi ya mwanamke Huwa ni maigizo, nandio maana wao chochote kile kinachoitaji aonewe huruma, hutanguliza machozi !!!

Hongera, komaa hapohapo, usiachie!!
 
Umemaliza mkuu. Mimi hata Kama mtoto ni wangu nikigundua usaliti live options ni mbili(Kama mtoto ameshazaliwa) anipe mwanangu nikalee mwenyewe hata Kama Ana wiki au amlee yeye bila kupata msaada wowote kutoka kwangu.
 
Nilitoa mada majuzi juu ya tukio la mke wangu kuwasiliana na ex wake. Naeleza jinsi nilivyomkataza mimba akiwa na miezi miwili na nikagundua bado mawasiliano yapo mpaka imefikisha miezi saba. Nikagundua yaliyojificha, kwamba yule jamaa alitakiwa na yeye ana mimba yake na mke wangu. Wakaenda kupima na wakagundua ni kweli, lakini jamaa akagoma kutokana na muda waliokutana ulikuwa ni siku tano nyuma na mke wangu ndiye aliyemfuata na kudai ana mimba yake.

Nilichofanya ni kumpiga makofi mke wangu mara kumi na kumwondoa kwao. Leo napigiwa simu na ndugu zake wakiomba msamaha kwangu kwa sababu maisha ni magumu sana kijijini. Kama jamaa aliikataa mimba, mawasiliano bado yaliendelea, na yeye anadai kuwa jamaa ndiye aliyekuwa anamsumbua.

Ni kweli kwamba wanaume wanachepuka, lakini siyo kuleta mimba za wasiwasi nyumbani. Bado anang'ang'ania kuwa mimba ni yangu.

===
Pia soma Nilee mimba au nimwache?
kwani wewe umeamuaje.?
 
Mkuu mbona jibu lipo wazi? Unaleaje mimba yenye mashaka? Unamkubalije mwanamke aliyekusaliti mpaka akapata mimba yenye mashaka? Emb kuwa mwanaume kamili!
 
Ukiamua kumsamehe na kumrudisha Ina maana umekubali kuendelea kumegewa, hawa viumbe ni vigumu sana kuwatenganisha na ex wao, Mimi yalishanikuta haya, nilimsamehe na akatoa wazo kuwa abadili namba ya simu lakini bado haikusaidia.

Watabadili mbinu tu na si kuachana, binafsi niliamua kuachana na yule Mwanamke baada ya kumsamehe mara mbili, mara ya tatu niliamua kuachana naye lakini baada ya ugomvi mkubwa sana, huenda ningefungwa jela kipindi kile.

Kama unaweza kumuacha muache ila kumsamehe ni kukubali hicho ulichogundua kiendelee hata hivyo hakuna kati yenu atakayekuwa na amani kwenye mahusiano hayo.
 
Ukiamua kumsamehe na kumrudisha Ina maana umekubali kuendelea kumegewa, hawa viumbe ni vigumu sana kuwatenganisha na ex wao, Mimi yalishanikuta haya, nilimsamehe na akatoa wazo kuwa abadili namba ya simu lakini bado haikusaidia.

Watabadili mbinu tu na si kuachana, binafsi niliamua kuachana na yule Mwanamke baada ya kumsamehe mara mbili, mara ya tatu niliamua kuachana naye lakini baada ya ugomvi mkubwa sana, huenda ningefungwa jela kipindi kile.

Kama unaweza kumuacha muache ila kumsamehe ni kukubali hicho ulichogundua kiendelee hata hivyo hakuna kati yenu atakayekuwa na amani kwenye mahusiano hayo
Mnaokotaga wapi wanawake wapumbavu namna hii. Jamani wanaume tujifunze kusema NO. Tujipe thamani na tuchague watu wa kutoka nao. Shubamiti
Mkuu, asilimia kubwa ya Wanawake ambao hawana hofu ya Mungu ndivyo walivyo, usijipe Imani sana kuwa wako ni mwaminifu labda kama ana hofu ya Mungu.
 
Back
Top Bottom