Hiyo hela nikubwa sana zingatia haya
1. Usiweke ndoa ukumbini
2. Kadiria watu wachache wasizidi watu 500
3.andaa bajeti simple ya chakula cha watu 500, ambapo kilo moja inaliwa na watu 6 hadi 8
4.Pika wali nyama,pilau na ndizi, over
5.usikodishe Mc wa bei ghali, wapo hadi wa elfu 50,
6.ndoa funga saa saba mchana hadi saa 10 jioni harusi imeisha watu watawanyike
7.wageni kutoka mbali wajitegemee malazi na chakula cha siku ya pili au kwa idadi ya siku watakazokaa hapo,
8. Ulizia wale ma Mc wàjanja m
wajanja wanaojua kucheza na hadhira
Nimerudi tena waungwana.
Natarajia kukusanya kitita cha 1.5 milioni kusudi nifunge ndoa na mwanamke ninayemtaka ndani ya miezi 6 ijayo.
Wazoefu, nianzie wapi kusudi nisiingie kwenye ndoa na madeni?
Binafsi sitaki kuchangisha watu kabisa kutoa watake wenyewe ila si ombi wala lazima. Harusi itafanyika Tang
Nimerudi tena waungwana.
Natarajia kukusanya kitita cha 1.5 milioni kusudi nifunge ndoa na mwanamke ninayemtaka ndani ya miezi 6 ijayo.
Wazoefu, nianzie wapi kusudi nisiingie kwenye ndoa na madeni?
Binafsi sitaki kuchangisha watu kabisa kutoa watake wenyewe ila si ombi wala lazima. Harusi itafanyika Tanga
Hiyo hela nikubwa sana zingatia haya
1. Usiweke ndoa ukumbini
2. Kadiria watu wachache wasizidi watu 500
3.andaa bajeti simple ya chakula cha watu 500, ambapo kilo moja inaliwa na watu 6 hadi 8
4.Pika wali nyama,pilau na ndizi, over
5.usikodishe Mc wa bei ghali, wapo hadi wa elfu 50,
6.ndoa funga saa saba mchana hadi saa 10 jioni harusi imeisha watu watawanyike
7.wageni kutoka mbali wajitegemee malazi na chakula cha siku ya pili au kwa idadi ya siku watakazokaa hapo,
8. Ulizia wale ma Mc wàjanja wajanja wanaojua kucheza na hadhira, sherehe ni Mc na chakula,