Penguinelli Cactussini
Senior Member
- May 23, 2022
- 106
- 383
Anzia chumbani kwakoNimerudi tena waungwana.
Natarajia kukusanya kitita cha 1.5 milioni kusudi nifunge ndoa na mwanamke ninayemtaka ndani ya miezi 6 ijayo.
Wazoefu, nianzie wapi kusudi nisiingie kwenye ndoa na madeni?
Binafsi sitaki kuchangisha watu kabisa kutoa watake wenyewe ila si ombi wala lazima. Harusi itafanyika Tanga
Weka bia nyingi, ubwabwa usiwepo kabisa!Nimerudi tena waungwana.
Natarajia kukusanya kitita cha 1.5 milioni kusudi nifunge ndoa na mwanamke ninayemtaka ndani ya miezi 6 ijayo.
Wazoefu, nianzie wapi kusudi nisiingie kwenye ndoa na madeni?
Binafsi sitaki kuchangisha watu kabisa kutoa watake wenyewe ila si ombi wala lazima. Harusi itafanyika Tanga
Nenda kanisani funga ndoa badala ya kuingia ukumbuni nenda kafanye sherehe nyumbani, sabufa inatosha kwa mziki, 500k inatosha kwa chakula 200k kodisha wapishi wa mtaani, 300k vinywaji, 500k kaanzie maisha, siku ukipata pesa utafanya kwa ukubwa unao taka.Nimerudi tena waungwana.
Natarajia kukusanya kitita cha 1.5 milioni kusudi nifunge ndoa na mwanamke ninayemtaka ndani ya miezi 6 ijayo.
Wazoefu, nianzie wapi kusudi nisiingie kwenye ndoa na madeni?
Binafsi sitaki kuchangisha watu kabisa kutoa watake wenyewe ila si ombi wala lazima. Harusi itafanyika Tanga
Mbona gharama kubwa sana?. Hebu fikiria kuingia kwenye ndoa kwa gharama ndogo na kiasi kinacho baki kifanye mtaji.Nimerudi tena waungwana.
Natarajia kukusanya kitita cha 1.5 milioni kusudi nifunge ndoa na mwanamke ninayemtaka ndani ya miezi 6 ijayo.
Wazoefu, nianzie wapi kusudi nisiingie kwenye ndoa na madeni?
Binafsi sitaki kuchangisha watu kabisa kutoa watake wenyewe ila si ombi wala lazima. Harusi itafanyika Tanga
Amhonge!?Mhonge mkeo hiyo pesa yote
Achana na kufunga ndoa kafuge mifugo update pesaNimerudi tena waungwana.
Natarajia kukusanya kitita cha 1.5 milioni kusudi nifunge ndoa na mwanamke ninayemtaka ndani ya miezi 6 ijayo.
Wazoefu, nianzie wapi kusudi nisiingie kwenye ndoa na madeni?
Binafsi sitaki kuchangisha watu kabisa kutoa watake wenyewe ila si ombi wala lazima. Harusi itafanyika Tanga
Nimerudi tena waungwana.
Natarajia kukusanya kitita cha 1.5 milioni kusudi nifunge ndoa na mwanamke ninayemtaka ndani ya miezi 6 ijayo.
Wazoefu, nianzie wapi kusudi nisiingie kwenye ndoa na madeni?
Binafsi sitaki kuchangisha watu kabisa kutoa watake wenyewe ila si ombi wala lazima. Harusi itafanyika Tang
Hiyo hela nikubwa sana zingatia hayaNimerudi tena waungwana.
Natarajia kukusanya kitita cha 1.5 milioni kusudi nifunge ndoa na mwanamke ninayemtaka ndani ya miezi 6 ijayo.
Wazoefu, nianzie wapi kusudi nisiingie kwenye ndoa na madeni?
Binafsi sitaki kuchangisha watu kabisa kutoa watake wenyewe ila si ombi wala lazima. Harusi itafanyika Tanga
Watu 500 eti 😂😂😂😂Hiyo hela nikubwa sana zingatia haya
1. Usiweke ndoa ukumbini
2. Kadiria watu wachache wasizidi watu 500
3.andaa bajeti simple ya chakula cha watu 500, ambapo kilo moja inaliwa na watu 6 hadi 8
4.Pika wali nyama,pilau na ndizi, over
5.usikodishe Mc wa bei ghali, wapo hadi wa elfu 50,
6.ndoa funga saa saba mchana hadi saa 10 jioni harusi imeisha watu watawanyike
7.wageni kutoka mbali wajitegemee malazi na chakula cha siku ya pili au kwa idadi ya siku watakazokaa hapo,
8. Ulizia wale ma Mc wàjanja m
wajanja wanaojua kucheza na hadhira
Hiyo hela nikubwa sana zingatia haya
1. Usiweke ndoa ukumbini
2. Kadiria watu wachache wasizidi watu 500
3.andaa bajeti simple ya chakula cha watu 500, ambapo kilo moja inaliwa na watu 6 hadi 8
4.Pika wali nyama,pilau na ndizi, over
5.usikodishe Mc wa bei ghali, wapo hadi wa elfu 50,
6.ndoa funga saa saba mchana hadi saa 10 jioni harusi imeisha watu watawanyike
7.wageni kutoka mbali wajitegemee malazi na chakula cha siku ya pili au kwa idadi ya siku watakazokaa hapo,
8. Ulizia wale ma Mc wàjanja wajanja wanaojua kucheza na hadhira, sherehe ni Mc na chakula,
Kilo moja inaliwa na watu 7, watu 500 watakula kilo ngapi? Maana yake ni kilo 73, kilo moja ni elfu 3, chukua 3000×73=21600. Hapo nyama kilo 20, viungo vya 40,000 soda, yaani inatosha mzee hahahahaWatu 500 eti 😂😂😂😂
Hiyo pesa nikushauri...bora utafute odd 10 tu za leo, ili upate pesa ya kufanya katafrija kadogo sio harusi.Nimerudi tena waungwana.