Nina 1.5 milioni nataka kufunga ndoa na harusi? Nianzie wapi

Kilo moja inaliwa na watu 7, watu 500 watakula kilo ngapi? Maana yake ni kilo 73, kilo moja ni elfu 3, chukua 3000×73=21600. Hapo nyama kilo 20, viungo vya 40,000 soda, yaani inatosha mzee hahahaha
Sawa hesabu ziko sawa ila hao watu 500 wote wa nini?
Ndio kusudi langu hilo maana yeye anataka arise simple tu
Mimi naona hata Mia tu wanatosha au vipi
 
Hiyo 1.5M yote ni mahari kama hujatoa mahari.

kama umetoa mahari, kwa sherehe inatosha ukiibanabana sana.
na ukumbi uwe nyumbani.

ukisema uzingatie kila kitu bajet huenda ikafika million 7 au 8.

Na kama ni waislam inabak chenj nying mno
 
Anzia kanisani au msikitini. Ukitoka hapo nendeni zenu chumbageni pale kwenye ice cream mka enjoy.
 
Nikishalewa nitarudi hapa nitoe ushauri mujarabu
 
Nunua nguo zako na za mwenza wako. Nunua pete mbili za English gold, pika wali, nunua soda kwa ajili ya watu wachache, ita camera man kwa ajili ya picha za ukumbusho, nenda kanisani/nyumbani kwa bibi harusi (kama ni Muislam); funga ndoa.

Chenji inayobaki mtaanzia maisha.
 
Utajuta hiyo hela utaikumbuka sana we aya!
 
baada ya ndoa hela ya kul unayo?
jipange bado haupo tayar
 
Hii nimeipenda
 
Huu muongozo nitauzingatia sana
 
Kwa 1.5 minningekushauri ufunge ndoa ya kanisani au msikitini tu utulie.

Kufanya harusi ndani ya io io bajeti ni eidha uingie kwenye madeni au uchekeshe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…