Nina 1m nahitaji sim kati ya iPhone au Samsung

Nina 1m nahitaji sim kati ya iPhone au Samsung

Hivi mpk unanunua simu ya 1m unatafuta nini,space kubwa,Ram kubwa,Camera kali,speed ya simu au battery kubwa?nifahamisheni hasa,maana kuna simu zinaitwa Google pixel nasikia camera yake ni kali sana,ila bado naona watu wanataja Xiaomi,Tecno,Samsung n.k .au kuna watu wanapenda umbo la simu na hayo mengine hawajali sana...
Resale value
 

Attachments

  • -852699956300666325.jpg
    -852699956300666325.jpg
    57.8 KB · Views: 13
Mambo vipi wanajamvi.

Naombeni ushauri wenu wataalam wa sim za mkonini. Kwa bajeti hiyo sim ipi itanifaa?
Nenda china plaza pale,siku hizi kuna maduka yanajitahidi kwa simu za second hand zinakua fresh tu,kwa bajeti yako unaweza kupata google pixel 6a au hata samsung s21 nzuri ila wakupe guarantee hata ya mwezi,simu mpya TZ nakushauri kwa mawakala wenyewe,kkoo nyingi ni refurbished
 
Back
Top Bottom