Nina $ 23,000 ila sijui biashara gani inanifaa

Kama Mimi ningenunua IST kama 5 hivi natafuta Madereva then nawapa deal

Zinarudisha 170,000-200,000 kwa Wiki moja so Gari zikiwa used from Japan nina Uhakika matengenezo yanakuaga si sanaa kwa kipindi cha Miaka 2

170,000 * 5 = 850,000
200,000*5 = 1,000,000
850,000 *52= 44,200,000
1,000,000*52= 52,000,000

So itachukua Mwaka 1 kuweza kurudisha pesa yako then unaanza kula Faida baada ya mwaka 1

NB kwa Dar es Salaam risk ya gari kupiga mzinga ni ndogo sana kutokana na Magari jiji kuwa na Gari nyingi
 
Kwa Dar. Fungua migahawa walau mitatu na sehemu ya Kitimoto. Malighafi (mchele, viazi, KITIMOTO vifuate mwenyewe kwa wafugaji, wakulima
 
Vizuri mkuu,inagharimu shi ngap kuwa wakala wa campuni moja wapo tajwa hapo juu na vipi wewe unapata faida
Unajua bhna issue iko hivi wewe kufanya makutano na office ya hizo kampuni ujue kama biashara utaweza au huwezi anzia kutembelea website zao wasiliana nao ujue unawafuata vipi .... mengine ya kiasi na faida utajua inakuaje, naamini unaweza kuwa wakala wakampuni hata mbili lakini Anza na moja mfano ya rangi au ya cement Ni wewe tu,
 
Chukua m5 leo mpe liverpool, mancity, porto na ajax zinashinda upate m10 faida m5. Biashara nzuri sana hii
 
Ningekua wewe

1. Ningewekeza kwenye FOREX TRADING.

2. ningewekeza kwenye real estate (hasa nyumba za biashara) na viwanja.

3. Ningefungua kampuni ya ujenzi ya kisasa (hii ingeenda sambaba na namba 2 hapo juu)!

NB: Faida ya kila kota robo tatu ninge reinvest na robo ningeirudisha kwenye jamii kwa njia ya ujenzi wa madarasa na vituo vya afya!!

Hayo ni mawazo yangu.
 
Ni milioni hamsini tu ujue sasa kwenye real estate hiyo ni nyumba moja na kiwanja chake tu ambayo kodi kwa mwezi haitovuka laki tatu na nusu kwa nyumba nzima
 
Zanzibar hakuna magari ya watalii kama bara huku ni gari za kawaida zinatumika so unakua na kampuni ya kukodisha magari
Akijaribu iyo kitu atapiga pesa mpaka awe kichaaaa 😂😂😂 maana hapa arusha Moshi kuna bus kama Toyota coaster, hiace Toyota, Nissan caravan, zipo za milimani cruise, Alphard hazipo ni kuna watu wana coaster piru za tour za milioni 45 mpaka milioni 50 za kutoka japan za low mileage used. mtu unakuta anazo 8 na ameanza na kukodisha icho kibunda siyo cha kawaida afu saivi high season inakuja....
 
awekeze kwenye fx hatari hiyo
 
Upande huu kuna hela sana sema wachache wameshtuka
 
All the best, ila kwa hizi biashara zetu ndogo kumuachia mtu ni kama kucommit suicide
Unajua,unapoishi na watu unajivunza tabia ya mtu licha ukuwah kumfkria kumtumia katika maswala yako,,,,unapokutana na watu katk maisha yako ya kawaida unatambua mtu huyu ni mtu wa aina gani.....linapokuja swala la kuwashikisha watu tayar utakuwa una watu uliwah kuamn au walkuwa msaada mkubwa kwako katika maisha,njia hyo ndo unapata fursa ya kuanzana nao,sio tu kwa vile nataka ndo nitafute mti ili mradi hapa,awali tayar nmekutana na watu na watu hao ndo nnawatumia,inawezekana walkuwa msaada kwangu katka maisha yangu,au n watu waamnifu sana katka maisha tulioishi nao,au hata kwa mambo yake anayofanya amesimama,
 
Kwenye maswala ya kuwekeza nyumba inaitaji mtaji mkubwa mkuu,hyo kwenye data base yangu labda baada ya miaka mitano

Kuwekeza kwenye vifaa vya ujenzi hilo nimeshaanza kulifanyia kazi tayar

Swala lq kkusaidia kujnga madara ni vyema ila kipato ni tatzo ninachkifanya huwa nawasaidia watu misaada ilio chini ya uwezo wng,,hapa jamii nishawahi kumsaidia mtu 70 elfu,,n kama sadka yangu
 
Chukua m5 leo mpe liverpool, mancity, porto na ajax zinashinda upate m10 faida m5. Biashara nzuri sana hii
uwa sibet mkuu,ningekuwq nafanya hvyo nikajarbu bahat
 
Mkuu ukiwa unasubiria biashara ya kufanya chukua Dola 500 leo Man City (win)
Liverpool (win)
Man U (win)
Barcelona (win)
Chelsea under 4.5
Spurs under 4.5
Newcastle under 3.5

Asbh una $6000
Uwa sibet mkuu
 
All the best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…