Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zirudishe ulikoiba, kama huna cha kuzifanyia angalau zikasaidie wengineNi kwel,ndomana tunaamua kuzilock hli tutafute ideas za kuziwekeza panapo faa
Unajua bhna issue iko hivi wewe kufanya makutano na office ya hizo kampuni ujue kama biashara utaweza au huwezi anzia kutembelea website zao wasiliana nao ujue unawafuata vipi .... mengine ya kiasi na faida utajua inakuaje, naamini unaweza kuwa wakala wakampuni hata mbili lakini Anza na moja mfano ya rangi au ya cement Ni wewe tu,Vizuri mkuu,inagharimu shi ngap kuwa wakala wa campuni moja wapo tajwa hapo juu na vipi wewe unapata faida
Sawa sawaaa 😂😂😂😂Kwa Dar. Fungua migahawa walau mitatu na sehemu ya Kitimoto
Zanzibar hakuna magari ya watalii kama bara huku ni gari za kawaida zinatumika so unakua na kampuni ya kukodisha magariM
Mkuu unamshauri anunue magari kwa ajili ya kusafirisha watalii Zanzibar au vipi ?
Ni milioni hamsini tu ujue sasa kwenye real estate hiyo ni nyumba moja na kiwanja chake tu ambayo kodi kwa mwezi haitovuka laki tatu na nusu kwa nyumba nzimaNingekua wewe
1. Ningewekeza kwenye FOREX TRADING.
2. ningewekeza kwenye real estate (hasa nyumba za biashara) na viwanja.
3. Ningefungua kampuni ya ujenzi ya kisasa (hii ingeenda sambaba na namba 2 hapo juu)!
NB: Faida ya kila kota robo tatu ninge reinvest na robo ningeirudisha kwenye jamii kwa njia ya ujenzi wa madarasa na vituo vya afya!!
Hayo ni mawazo yangu.
Akijaribu iyo kitu atapiga pesa mpaka awe kichaaaa 😂😂😂 maana hapa arusha Moshi kuna bus kama Toyota coaster, hiace Toyota, Nissan caravan, zipo za milimani cruise, Alphard hazipo ni kuna watu wana coaster piru za tour za milioni 45 mpaka milioni 50 za kutoka japan za low mileage used. mtu unakuta anazo 8 na ameanza na kukodisha icho kibunda siyo cha kawaida afu saivi high season inakuja....Zanzibar hakuna magari ya watalii kama bara huku ni gari za kawaida zinatumika so unakua na kampuni ya kukodisha magari
awekeze kwenye fx hatari hiyoNingekua wewe
1. Ningewekeza kwenye FOREX TRADING.
2. ningewekeza kwenye real estate (hasa nyumba za biashara) na viwanja.
3. Ningefungua kampuni ya ujenzi ya kisasa (hii ingeenda sambaba na namba 2 hapo juu)!
NB: Faida ya kila kota robo tatu ninge reinvest na robo ningeirudisha kwenye jamii kwa njia ya ujenzi wa madarasa na vituo vya afya!!
Hayo ni mawazo yangu.
Upande huu kuna hela sana sema wachache wameshtukaAkijaribu iyo kitu atapiga pesa mpaka awe kichaaaa [emoji23][emoji23][emoji23] maana hapa arusha Moshi kuna bus kama Toyota coaster, hiace Toyota, Nissan caravan, zipo za milimani cruise, Alphard hazipo ni kuna watu wana coaster piru za tour za milioni 45 mpaka milioni 50 za kutoka japan za low mileage used. mtu unakuta anazo 8 na ameanza na kukodisha icho kibunda siyo cha kawaida afu saivi high season inakuja....
Unajua,unapoishi na watu unajivunza tabia ya mtu licha ukuwah kumfkria kumtumia katika maswala yako,,,,unapokutana na watu katk maisha yako ya kawaida unatambua mtu huyu ni mtu wa aina gani.....linapokuja swala la kuwashikisha watu tayar utakuwa una watu uliwah kuamn au walkuwa msaada mkubwa kwako katika maisha,njia hyo ndo unapata fursa ya kuanzana nao,sio tu kwa vile nataka ndo nitafute mti ili mradi hapa,awali tayar nmekutana na watu na watu hao ndo nnawatumia,inawezekana walkuwa msaada kwangu katka maisha yangu,au n watu waamnifu sana katka maisha tulioishi nao,au hata kwa mambo yake anayofanya amesimama,All the best, ila kwa hizi biashara zetu ndogo kumuachia mtu ni kama kucommit suicide
Kwenye maswala ya kuwekeza nyumba inaitaji mtaji mkubwa mkuu,hyo kwenye data base yangu labda baada ya miaka mitanoNingekua wewe
1. Ningewekeza kwenye FOREX TRADING.
2. ningewekeza kwenye real estate (hasa nyumba za biashara) na viwanja.
3. Ningefungua kampuni ya ujenzi ya kisasa (hii ingeenda sambaba na namba 2 hapo juu)!
NB: Faida ya kila kota robo tatu ninge reinvest na robo ningeirudisha kwenye jamii kwa njia ya ujenzi wa madarasa na vituo vya afya!!
Hayo ni mawazo yangu.
All the bestUnajua,unapoishi na watu unajivunza tabia ya mtu licha ukuwah kumfkria kumtumia katika maswala yako,,,,unapokutana na watu katk maisha yako ya kawaida unatambua mtu huyu ni mtu wa aina gani.....linapokuja swala la kuwashikisha watu tayar utakuwa una watu uliwah kuamn au walkuwa msaada mkubwa kwako katika maisha,njia hyo ndo unapata fursa ya kuanzana nao,sio tu kwa vile nataka ndo nitafute mti ili mradi hapa,awali tayar nmekutana na watu na watu hao ndo nnawatumia,inawezekana walkuwa msaada kwangu katka maisha yangu,au n watu waamnifu sana katka maisha tulioishi nao,au hata kwa mambo yake anayofanya amesimama,