Nina $ 23,000 ila sijui biashara gani inanifaa

Nina $ 23,000 ila sijui biashara gani inanifaa

Huyu dada yeye anaexperience na hizi biashara za lodge emu msikilize maana [emoji23][emoji23][emoji23] usidharau ushauri wa dada zetu bhna asa wanapokueleza bayana mambo haya [emoji28][emoji28][emoji28]
Nmemuelewa vilivyo mkuu
 
Ni kweli kabisa. Siyo kama kila mtu siyo mwaminifu. Ila mimi niseme kuwa fedha hubadilisha tabia za watu. Mtu anakuwa na kila aina ya uaminifu na unyenyekevu kabla hujampa fedha lakini once akizipata anakuwa mtu mwingine kabisa. Hili limenipata, tena mara mbili na nikikuambia hao jamaa walivyokuwa na dalili zote za uaminifu na unyenyekevu kabla yake utashangaa!
Ila na mm kuna watu walinishirksha wakat mimi sina wao wanacho na waliniamn na kuwa waamnf kwang kwnye maswala yao.so nnapopata na mm inabd niwashirkshe mkuu
 
Yes mkuu na ukishaanza biashara hao mafundi ndio watakusaidia kuleta wateja.
Wenzako wanachofanya ni kwamba fundi akimleta mteja au akija kununua yeye mwenyewe unampunguzia bei kidogo ili abakiwe na hela kidogo hata elfu 20 au 30.
Baada ya hapo kila akipata saiti atakuja kununua kwako na pia atawaambia wenzake wote wawe wanakuja kununua kwako.
Hii safi
 
Mkuu ukiwa unasubiria biashara ya kufanya chukua Dola 500 leo Man City (win)
Liverpool (win)
Man U (win)
Barcelona (win)
Chelsea under 4.5
Spurs under 4.5
Newcastle under 3.5

Asbh una $6000
Ungekuwa ushampigisha mwenzio! Duh!
 
Hiyo pesa unao uwezo wa kui triple ndani ya mwaka. Ziko biashara za non perishable tangiable products ambazo zina guarantee ya kuuza inapofika season yake na supply inakuwa hai satisfy demand miaka yote.
 
Kuwa makini hapo kwenye vifaa vya ujenzi hasa sehemu unayotarajia kufungua..namaanisha angalia ushindani wa kibiashara...usije kukaa karibu na mtu anaefungia mzigo nje ya nchi na ww unafungia kkooo...atakupiga kwenye Bei. Kama inawezekana fanya utafiti ukafunge mzigo China.
 
Fungua kiwanda Cha kufyatua matofali ya cement...au nenda China funga spare za pikipiki.
 
Hiyo pesa unao uwezo wa kui triple ndani ya mwaka. Ziko biashara za non perishable tangiable products ambazo zina guarantee ya kuuza inapofika season yake na supply inakuwa hai satisfy demand miaka yote.
Umeongelea biashara zipi hizo mkuu?
Zitaje ili zinufaishe na wengine
 
Kuwa makini hapo kwenye vifaa vya ujenzi hasa sehemu unayotarajia kufungua..namaanisha angalia ushindani wa kibiashara...usije kukaa karibu na mtu anaefungia mzigo nje ya nchi na ww unafungia kkooo...atakupiga kwenye Bei. Kama inawezekana fanya utafiti ukafunge mzigo China.
Hapana mkuu vifaa vya ujenzi huwa hawachukulii mbali.
Kwa mfano mabati viwanda vingi tunavyo,viwanda vya nondo pia vipo,viwanda vya cement vipo vingi,mbao zinatoka iringa na wengine wananunua hata buguruni na bado faida kubwa ipo.
Kwa mfano mbao uliyonunua elfu 7 unakuja kuuza elf 14 hadi 15.
Conduit pipe 1 kkoo ni sh.300 ukiileta mtaani inauzwa 1000.
Maduka ya vifaa vya umeme yamejazana kibao kkoo.
Kuna haja gani Sasa upande ndege uende China?
 
Na ashukuru hali ya sasa anaweza opoa eneo zuri balaa kwa bei ya kawaida...hata kama ni a bit expensive ye anunue tu hela itarudi na hatolala njaa (i kno what im saying)

Baadae anakuja kuwa center sna na unakuta business activity katika eneo lake zishachanganya.
Yaani hiyo kitu ni kweli kabisa akiotea eneo la barabarani ni nzuri kabisa aweke carwash nzuri na vitu extra...hakosi ela ya kula... Na kufanya miradi midogo midogo.
 
Ningekua wewe

1. Ningewekeza kwenye FOREX TRADING.

2. ningewekeza kwenye real estate (hasa nyumba za biashara) na viwanja.

3. Ningefungua kampuni ya ujenzi ya kisasa (hii ingeenda sambaba na namba 2 hapo juu)!

NB: Faida ya kila kota robo tatu ninge reinvest na robo ningeirudisha kwenye jamii kwa njia ya ujenzi wa madarasa na vituo vya afya!!

Hayo ni mawazo yangu.
Unawaza Kama mimi
 
Kuwa makini hapo kwenye vifaa vya ujenzi hasa sehemu unayotarajia kufungua..namaanisha angalia ushindani wa kibiashara...usije kukaa karibu na mtu anaefungia mzigo nje ya nchi na ww unafungia kkooo...atakupiga kwenye Bei. Kama inawezekana fanya utafiti ukafunge mzigo China.
Asante mkuu
 
Tambua shauku lako na kipaji ulicho nacho halafu combine na pesa yako kufanya kitu. Kwa ufupi ni hivyo.
 
Back
Top Bottom