Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila na mm kuna watu walinishirksha wakat mimi sina wao wanacho na waliniamn na kuwa waamnf kwang kwnye maswala yao.so nnapopata na mm inabd niwashirkshe mkuuNi kweli kabisa. Siyo kama kila mtu siyo mwaminifu. Ila mimi niseme kuwa fedha hubadilisha tabia za watu. Mtu anakuwa na kila aina ya uaminifu na unyenyekevu kabla hujampa fedha lakini once akizipata anakuwa mtu mwingine kabisa. Hili limenipata, tena mara mbili na nikikuambia hao jamaa walivyokuwa na dalili zote za uaminifu na unyenyekevu kabla yake utashangaa!
Simamia mwenyewe kwanza for atleast three yearsNina watu,baada ya kufanya huamuz nitawashirikisha watu,ili kuisimamia na kuiendsha
Hii safiYes mkuu na ukishaanza biashara hao mafundi ndio watakusaidia kuleta wateja.
Wenzako wanachofanya ni kwamba fundi akimleta mteja au akija kununua yeye mwenyewe unampunguzia bei kidogo ili abakiwe na hela kidogo hata elfu 20 au 30.
Baada ya hapo kila akipata saiti atakuja kununua kwako na pia atawaambia wenzake wote wawe wanakuja kununua kwako.
Ungekuwa ushampigisha mwenzio! Duh!Mkuu ukiwa unasubiria biashara ya kufanya chukua Dola 500 leo Man City (win)
Liverpool (win)
Man U (win)
Barcelona (win)
Chelsea under 4.5
Spurs under 4.5
Newcastle under 3.5
Asbh una $6000
Mawazo poa sana haya ....hasa hili la spare za pikipiki zina faida ile mbaya..Fungua kiwanda Cha kufyatua matofali ya cement...au nenda China funga spare za pikipiki.
Umeongelea biashara zipi hizo mkuu?Hiyo pesa unao uwezo wa kui triple ndani ya mwaka. Ziko biashara za non perishable tangiable products ambazo zina guarantee ya kuuza inapofika season yake na supply inakuwa hai satisfy demand miaka yote.
Hapana mkuu vifaa vya ujenzi huwa hawachukulii mbali.Kuwa makini hapo kwenye vifaa vya ujenzi hasa sehemu unayotarajia kufungua..namaanisha angalia ushindani wa kibiashara...usije kukaa karibu na mtu anaefungia mzigo nje ya nchi na ww unafungia kkooo...atakupiga kwenye Bei. Kama inawezekana fanya utafiti ukafunge mzigo China.
Yaani hiyo kitu ni kweli kabisa akiotea eneo la barabarani ni nzuri kabisa aweke carwash nzuri na vitu extra...hakosi ela ya kula... Na kufanya miradi midogo midogo.Na ashukuru hali ya sasa anaweza opoa eneo zuri balaa kwa bei ya kawaida...hata kama ni a bit expensive ye anunue tu hela itarudi na hatolala njaa (i kno what im saying)
Baadae anakuja kuwa center sna na unakuta business activity katika eneo lake zishachanganya.
Unawaza Kama mimiNingekua wewe
1. Ningewekeza kwenye FOREX TRADING.
2. ningewekeza kwenye real estate (hasa nyumba za biashara) na viwanja.
3. Ningefungua kampuni ya ujenzi ya kisasa (hii ingeenda sambaba na namba 2 hapo juu)!
NB: Faida ya kila kota robo tatu ninge reinvest na robo ningeirudisha kwenye jamii kwa njia ya ujenzi wa madarasa na vituo vya afya!!
Hayo ni mawazo yangu.
Asante mkuuKuwa makini hapo kwenye vifaa vya ujenzi hasa sehemu unayotarajia kufungua..namaanisha angalia ushindani wa kibiashara...usije kukaa karibu na mtu anaefungia mzigo nje ya nchi na ww unafungia kkooo...atakupiga kwenye Bei. Kama inawezekana fanya utafiti ukafunge mzigo China.