Kuna simu zinauzwa kwa mkopo kawekeze hiyo 40, chukua simu kauze kwa bei ya sokoni, kamalizie deni baki na faidaSalam Wakuu
Kama heading inavyojieleza, Nipo mkoani, Je ninawezaje kutumia fedha hi niliyonayo kufikia malengo yangu ndani ya muda tajwa?
Hahaha kama rahisi vileChukua odds 2 tia mzigo.
Siyo baada ya siku 7, ni baada ya dakika 90 unapata hela unayotaka
Ushampoteza mwenzakoBeti mpe Brazil dhidi ya Cameroon tia mzigo wote
Beti mpe Brazil dhidi ya Cameroon tia mzigo wote
Wewe unatoa ushauri gani ambao hauna risk?Vijana wana shauri kubeti tu, acheni ujinga mazee huko ku bet ni kurisk sana.
Ukizijua kanuni na ukiwa na mtaji mzuri betting ni pesa ya bure labisaEneo hatari ndiyo eneo salama mkuu.
Kwenye risk ndiyo kuna hela.
Biashara gani?.. mleta mada ndo anataka mawazoingiza kwenye biashara
Kwa Fadhila zako,Kuna simu zinauzwa kwa mkopo kawekeze hiyo 40, chukua simu kauze kwa bei ya sokoni, kamalizie deni baki na faida
Wapi zinauzwa hizo simu?Kuna simu zinauzwa kwa mkopo kawekeze hiyo 40, chukua simu kauze kwa bei ya sokoni, kamalizie deni baki na faida
Biashara gani?.. mleta mada ndo anataka mawazo
Hivi ulivyoandika si ungemuuliza muhitaji mwenyewe kuliko kumtuma mkubwa jr.Kwa Fadhila zako,
Muulize ni kwa ajili gani? Kama itamake sense kwako, niambie. Nitamsaidia.
Kama haitakuwa na maana, achana naye.
Nakuheshimu sana Jr.
Asante kwa heshima nitachangia pia, ngoja nimcheki pmKwa Fadhila zako,
Muulize ni kwa ajili gani? Kama itamake sense kwako, niambie. Nitamsaidia.
Kama haitakuwa na maana, achana naye.
Nakuheshimu sana Jr.
Kuna maduka mengi ya simu siku hizi wanafanya hivyoWapi zinauzwa hizo simu?
Ukirejea check pm yakoSalam Wakuu
Kama heading inavyojieleza, Nipo mkoani, Je ninawezaje kutumia fedha hi niliyonayo kufikia malengo yangu ndani ya muda tajwa?
Tshirt gani mkuu.. za mtumba, za dukani? Bei ya kununua na ya kuuza zipoje? Masoko ya kununulia kwa bei ya jumla? Mbinu za kusambaza kwa wateja? N.kUza T-SHIRTS
Kama alifuata huu ushauri atakuwa aligaragazwa vibaya mno...
Ukizijua kanuni na ukiwa na mtaji mzuri betting ni pesa ya bure labisa
Ipo kwenye bettingHakuna pesa ya bure duniani popote.
Ushauri wangu vijana tufanye biashara zenye uhalisia sio kubetWewe unatoa ushauri gani ambao hauna risk?