haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 978
- 2,313
kuna huyu dada ye mwenyewe ndo alijileta, baada ya muda kwenye mahusiano nikamwambia ukweli kwa nia njea ya kumsaidia kua mi naona yeye sio type yangu , kuliko kupoteza muda ni vema aangalie atakaeendana nae mana mi sioni future na yeye. Ningeweza kumchezea na kumpotezea muda ila nimeamua kua mwema kwake.
Sasa cha ajabu ameniwekea kinyongo hadi leo, inafikia hatua hata nikiwa na jambo ofisi anayofanya kazi ya serikali, haoneshi ushurikiano kama mtu anaenifahamu.
Na si yeye tu, ma ex wengi walojipata wanahasira na mimi had leo bado sijui hawa move on au vipi.
Na kama ningeoa mke kishoia nadhan vijembe vingekua vingi sana.
Pamoja na nyadhfa zao, bado hawawez kua na mwanaume km mimi.