Nina Diploma in Film Production, natafuta kazi

Kweli nimeamini upele unamapata asie ma kucha.

I wish ungekuwa na computer yako kubwa. uwe na camera zako hata 3 na lens zako.
uwe na lighting equioments, uwe na gimbles au cranes + Tripod stand uwe na kausafiri kako hata ka vits

mambo yawe poa. Napenda sana hiyo fani yako
 
Kweli mkuu, ukiwa na vifaa hukosi cha kufanya
 
Kwenye kupeleka maombi hapo sasa hivi huwa unatafuta mtu mmoja wa juu huko kwenye ofisi jina lake tu kisha ukifika getini unataja naomba kuoana na flani. Ukiulizwa unamfahamu unawaambia ndio unamfahamu ila sijui kama yeye anakukumbuka maana mliwahi kuongea nae mara moja tu.
Wakikuuliza ni official apointment? unasema ndiyo umekuja ili akupangie siku gani muonane.
Ukishavuka hapo na kuingia ndani barua yako uliificha getini sasa ukiruhusiwa tu ukaingia ndani ndiyo unaitoa.
Jaribu pia na ofisi za Azam kutuma maombi ya kujitolea. Achana na hao TBC, ITV , n.k machannel mikubwa
 
Computa sio chini ya 3M
(camera+ Lens ) x 2 = 5M
Accessories 3 - 5M

Hii kitu inahitaji pesa ya kutosha sana

Bado hujatafuta Drone camera.

Hata mm nina interest ya hiki kitu natamani kuanzisha
Kwa mindset hii..kujiajiri utakusikia tu...nenda kaole group pale uanze kazi hata kesho
 
Kwa comments zako hapa JF unafanania sana na fani yako. All the best
😂😂😂😂 Aisee
Kwenye mambo ya comments hua siko serious so kama unaniona nipo negative kwenye comments usinichukulie hvy
 
Kwenye kupeleka maombi hapo sasa hivi huwa unatafuta mtu mmoja wa juu huko kwenye ofisi jina lake tu kisha ukifika getini unataja naomba kuoana na flani. Ukiulizwa unamfahamu unawaambia ndio unamfahamu ila sijui kama yeye anakukumbuka maana mliwahi kuongea nae mara moja tu.
Wakikuuliza ni official apointment? unasema ndiyo umekuja ili akupangie siku gani muonane.
Ukishavuka hapo na kuingia ndani barua yako uliificha getini sasa ukiruhusiwa tu ukaingia ndani ndiyo unaitoa.
Jaribu pia na ofisi za Azam kutuma maombi ya kujitolea. Achana na hao TBC, ITV , n.k machannel mikubwa
Niliwahi kufanya hivyo sehemu moja, mlinzi akanambia sogea pembeni pale mpigie simu ili aje nje, nkasogea umbali mrefu nkashika simu nikaanza kujisemesha mwisho wa siku ikabidi niache barua kwa mlinzi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aisee
Kwenye mambo ya comments hua siko serious so kama unaniona nipo negative kwenye comments usinichukulie hvy
Hauko serious kwenye comments na ndio uhalisia wako. Ila huwa nikikutana nazo zinanichekesha sana, hivo ukisema unaweza kuandika script naamini haraka zaidi kwa vile najua uwezo wako wa kuendana na mada iliyoletwa ila ukachekesha
 
Kweli nimeamini upele unamapata asie ma kucha.

I wish ungekuwa na computer yako kubwa. uwe na camera zako hata 3 na lens zako.
uwe na lighting equioments, uwe na gimbles au cranes + Tripod stand uwe na kausafiri kako hata ka vits

mambo yawe poa. Napenda sana hiyo fani yako
tatizo kamtaji tuu isee..

Wangepatikana watu wakuwawezesha vijana kama hii nchi ingepiga hatua
 
Kwenye kupeleka maombi hapo sasa hivi huwa unatafuta mtu mmoja wa juu huko kwenye ofisi jina lake tu kisha ukifika getini unataja naomba kuoana na flani. Ukiulizwa unamfahamu unawaambia ndio unamfahamu ila sijui kama yeye anakukumbuka maana mliwahi kuongea nae mara moja tu.
Wakikuuliza ni official apointment? unasema ndiyo umekuja ili akupangie siku gani muonane.
Ukishavuka hapo na kuingia ndani barua yako uliificha getini sasa ukiruhusiwa tu ukaingia ndani ndiyo unaitoa.
Jaribu pia na ofisi za Azam kutuma maombi ya kujitolea. Achana na hao TBC, ITV , n.k machannel mikubwa
Njia nzuri sana hii...secretary + walinzi wana wivu sana.
 
Habari zenu wakuu

Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 25 naishi Dar es Salaam.

Nimemaliza chuo mwaka 2020 katika fani ya diploma in film production, hivyo naweza kutumika kama cameraman, video editor, script writer, director na mambo yote yanayohusiana na filamu, sherehe tofauti tofauti au kwenye televisheni.

Niliwahi kupeleka CV zangu Wasafi TV, ITV, TVE, EATV, Clouds TV lakini huko kote barua ziliishia kwa walinzi pia niliwahi kupeleka barua ya kujitolea TBC huko pia nmeambulia patupu, huku kote nilipopeleka hizo barua imeshapita miezi minne lakini sijapewa mrejesho wowote huko kote.

Fani yangu ni rahisi kujiajiri, lakini binafsi nimeshindwa kujiajiri kutokana na kukosa mtaji wa kutosha kama vile ununuzi wa cameras, computers, cameramans, TVs nk hii ni kutokana na mabadiliko ya mahitaji ya watu katika shughuli zao, pia sijabahatika kumiliki vitendea kazi vyangu mwenyewe mana hata tangu nikiwa chuo nilikuwa naomba vifaa kwa wenzangu ili niweze kufanya kazi za chuo/masomo yangu, lakini bado niliweza kufanya kazi zenye ubora wa hali ya juu kabisa.

Naomba sana msaada wenu wa dhati kabisa mwenye uwezo wa kunisaidia kazi yoyote ile ambayo ipo kwenye hiyo fani yangu au nje ya hiyo fani.

Mimi ni muaminifu, najituma na nipo tayari kujifunza kwa uwepesi kazi ambayo labla nitakuwa mgeni wa hiyo Kazi.

Mwenye nia ya dhati ya kunisaidia kupata kazi au connection ya kazi naomba awasiliane nami kupitia PM au 0625454371

Nawashukuru sana kwa wote watakaonisaidia.
Anza kutumia simu yako ambayo nna uhakika ni smart phone kutengeneza short films na uwe waziuza kwenye media platforms.

Short films zaweza kuwa ni za advertisements, short documentaries na short stories.

Ukipata fedha wanunua laptop kwa ajili ya editing na waendeleza mapambano hadi kupata PC nzuri zaidi kwa maximum production.

Halafu kwa sasa ni kipindi cha digitali kwa kila kitu hivyo hio Diploma yako ni hafifu sana, watakiwa kujiandaa kusomea shahada kabisa ya masuala ya film production na kujitengenezea portfolio ya uhakika.

Degree za film production hupatikana kwa taabu ila zinalipa sana.

Kupigana huanzia chini sana na ukitaka reference iulize familia ya michuzi baba yao alianzaje kazi zake.

Maisha ni kupambana.

Kila la kheri.
 
Habari zenu wakuu

Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 25 naishi Dar es Salaam.

Nimemaliza chuo mwaka 2020 katika fani ya diploma in film production, hivyo naweza kutumika kama cameraman, video editor, script writer, director na mambo yote yanayohusiana na filamu, sherehe tofauti tofauti au kwenye televisheni.

Niliwahi kupeleka CV zangu Wasafi TV, ITV, TVE, EATV, Clouds TV lakini huko kote barua ziliishia kwa walinzi pia niliwahi kupeleka barua ya kujitolea TBC huko pia nmeambulia patupu, huku kote nilipopeleka hizo barua imeshapita miezi minne lakini sijapewa mrejesho wowote huko kote.

Fani yangu ni rahisi kujiajiri, lakini binafsi nimeshindwa kujiajiri kutokana na kukosa mtaji wa kutosha kama vile ununuzi wa cameras, computers, cameramans, TVs nk hii ni kutokana na mabadiliko ya mahitaji ya watu katika shughuli zao, pia sijabahatika kumiliki vitendea kazi vyangu mwenyewe mana hata tangu nikiwa chuo nilikuwa naomba vifaa kwa wenzangu ili niweze kufanya kazi za chuo/masomo yangu, lakini bado niliweza kufanya kazi zenye ubora wa hali ya juu kabisa.

Naomba sana msaada wenu wa dhati kabisa mwenye uwezo wa kunisaidia kazi yoyote ile ambayo ipo kwenye hiyo fani yangu au nje ya hiyo fani.

Mimi ni muaminifu, najituma na nipo tayari kujifunza kwa uwepesi kazi ambayo labla nitakuwa mgeni wa hiyo Kazi.

Mwenye nia ya dhati ya kunisaidia kupata kazi au connection ya kazi naomba awasiliane nami kupitia PM au 0625454371

Nawashukuru sana kwa wote watakaonisaidia.
Jiajiri na utengeneze ajira, anza kutengeneza viclip kwa kutumia simu yako. Uwezo unao tatizo nia, unatoboa mwana.
 
Back
Top Bottom