Nina Diploma in Film Production, natafuta kazi

Hauko serious kwenye comments na ndio uhalisia wako. Ila huwa nikikutana nazo zinanichekesha sana, hivo ukisema unaweza kuandika script naamini haraka zaidi kwa vile najua uwezo wako wa kuendana na mada iliyoletwa ila ukachekesha
Shukrani mkuu
Mm naamini sitakiwi kumvunjia mtu heshima hata kama ntakuwa naandika comments za jokes, pia napenda utani usio wa kumuumiza mtu
 
Unataja makampuni makubwa badala ya kwenda kuwaomba ma-video shooter wa kwenye harusi za mitaani au watu wanaotengeneza movie za mitaani za kina Mkojani. Achana na ma TV makubwa kama una nyota itaonekana huku chini na utapanda mpaka ufike CNN
 
Nafahamu hilo mkuu, kuna mahali nipo ila sio permanent mana mhusika Ana timu yake na hawezi kuongeza mtu ila hua naenda kugusa gusa baadhi ya mambo, wanahusika kwenye harusi na mengineyo so sio uhakika kwamba utakuwa hapo au utapata kazi kwa uhakika mana sherehe ni mpaka itokee kuwepo, ndo mana natafuta sehemu ambayo itakuwa permanent ili na mm niweze kuendesha maisha yangu mwenyewe.
 
Komaa huko kama unaweza hata TV zitakuonea huko huko. Usitake kuanzia TV kubwa wakati hawajui kipaji chako
 
Nafahamu hilo mkuu, kuna mahali nipo ila sio permanent mana mhusika Ana timu yake na hawezi kuongeza mtu ila hua naenda kugusa gusa baadhi ya mambo, wanahusika kwenye harusi na mengineyo so sio uhakika kwamba utakuwa hapo au utapata kazi kwa uhakika mana sherehe ni mpaka itokee kuwepo, ndo mana natafuta sehemu ambayo itakuwa permanent ili na mm niweze kuendesha maisha yangu mwenyewe.
Wakati unahangaika pia ingia YouTube jifunze mambo ya ziada.
 
Ngoja kwanza Mkuu sema unashndwa kuwa mbunifu tu mm cjasomea iyo kozi ila naweza kucheza na software za VFX kama After effect nkatengeneza muvi bila ata canera..mkuu bongo tupo nyuma sana kwnye hii carrier ila ukiwa mbunifu utatoboa ukitegemea kuajiriwa endelea kusambaza CV
 
samahani ni chuo gani wanafundisha hizo course na ni kwa mda gani natamani Sana kusomea hayo
DIPLOMA miaka miwili udom, japokuwa kuna vyuo vingine wanafundisha kama somo lisilokuwa na cheti maalumu na cjajua kwa upande wao inachukua muda gani.
 
unatakiwa uwe na ufaulu gani kwa elimu ya secondary
UDOM sasa hv hawatoi diploma ila kuna college vya mtaani wanatoa hy kozi hata kwa alyemaliza darasa la saba. Kujiunga diploma ni vigezo vinavyojulikana kote.
 
Sio chini ya milioni 20 hapo atleast unapata vitu vitu vya kisasa
Mpe mchanganuo mfano kwa editing nitahitaji imac pro inauzwa bei flani camera nitahitaji Canon EOS inauzwa bei hii na ofisi pango ni kiasi flani na tutafanya hivi kuingiza faida ukijibu hivyo kwa ufupi unaweza poteza muwekezaji kuna watu wana mitaji lakini hawajui wawekezeje na wapi
 
Back
Top Bottom