Nina Diploma ya Community Development. Kwa course hii naruhusiwa kuomba kazi ya Tax Management Assistant ya TRA?

Nina Diploma ya Community Development. Kwa course hii naruhusiwa kuomba kazi ya Tax Management Assistant ya TRA?

Wababa13

Senior Member
Joined
Dec 27, 2017
Posts
105
Reaction score
70
Habari za muda huu kwa mara nyingine, nina cha NTA Level 6 course ya Maendeleo ya Jamii. Naruhusiwa kuomba kazi ya Tax Management assistant II?
 
Kumbuka nimesoma Economic Development kama somo pia nimesoma Accountancy ndani ya iyo iyo Maendeleo ya Jamii.. unajaribu kunikatisha tamaa 🤣🤣
Mkuu huna vigezo vya hio kazi we subiria TAMISEMI watangaze Maendeleo ya jamii
 
Boss apo lazima ukataliwe tu , Apo wanaitajika waliosomea Accountancy .unaweza ukasoma IT ndani yake kukawa na iyo course ila ukaomba ukagomewa .
 
Mbona zile za Custom officers walitaka mtu wa Maendeleo ya Jamii

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu pole sana najua umevurugwa sana
 
Kumbuka nimesoma Economic Development kama somo pia nimesoma Accountancy ndani ya iyo iyo Maendeleo ya Jamii.. unajaribu kunikatisha tamaa [emoji1787][emoji1787]
Job description ziko wazi. Fuata muongozo
 
Back
Top Bottom