Nina Diploma ya Community Development. Kwa course hii naruhusiwa kuomba kazi ya Tax Management Assistant ya TRA?

Kumbuka nimesoma Economic Development kama somo pia nimesoma Accountancy ndani ya iyo iyo Maendeleo ya Jamii.. unajaribu kunikatisha tamaa [emoji1787][emoji1787]
Angalia tangazo limeanisha sifa zipi, kama sifa zilizotajwa unazo omba.
 
Kumbuka nimesoma Economic Development kama somo pia nimesoma Accountancy ndani ya iyo iyo Maendeleo ya Jamii.. unajaribu kunikatisha tamaa [emoji1787][emoji1787]
Ata kama umesoma ajira portal haitambui hilo watakugomea. Ila kwanini unajisumbua kuuliza hapa... jaribu kuapply upate jibu la uhakika.
Pia interview yao hutoboiiii...
 
Kumbuka nimesoma Economic Development kama somo pia nimesoma Accountancy ndani ya iyo iyo Maendeleo ya Jamii.. unajaribu kunikatisha tamaa [emoji1787][emoji1787]
Mkuu ww Kaz zako zipo hospital na wizara ya afya huko ...tax itakuchosha utakuja kuonekana uliforge vyeti bure maana utakua kilaza wa mwisho kazini

Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
 
Kumbuka nimesoma Economic Development kama somo pia nimesoma Accountancy ndani ya iyo iyo Maendeleo ya Jamii.. unajaribu kunikatisha tamaa [emoji1787][emoji1787]
[emoji23]
 
Back
Top Bottom