DuhBS physics majors will graduate with the knowledge of classical mechanics, electromagnetism, quantum mechanics, thermal physics/ statistical mechanics and other topics expected for a professional physicist. Kwa Tanzania lazima uwe mwalimu
Arudie kusoma hii comment yako kila anaposhika simu. Ikiwezekana afanye screenshort kabisa.Usiende kusoma iyo kozi chagua kozi nyengine namjua mtu alosoma iyo kozi badilisha kozi ndugu
Asante brotherArudie kusoma hii comment yako kila anaposhika simu. Ikiwezekana afanye screenshort kabisa.
Ila akipenda msongo na msoto aende akasome.
Ninayeandika hapa nilisoma kitivo hichohicho, except mimi nilifanya BSc. Mathematics.
Simshauri chochote zaidi ya ushauri wako.
Bsc. phy,chem,bios na education ni scam pale cnms ziko to general kwenye soko ajira ni ngumu sana maana kwenye soko la ajira huwa wanahitaji mtu alie specialize mfano mechanial eng, electrial eng, labda uwe lecturer wa physicsAsee duhi
Badili nenda Tiba kuna kozi nyingi za AfyaNimechaguliwa UDOM kusoma bachelor of science in physics.
Nimejaribu kufuatilia naona kama sio ualimu ila wakati nafanya application nilidhani ni education.
Naombeni mnishauri cha kufanya wakubwa zangu.
Hata education amba kitu?Bsc. phy,chem,bios na education ni scam pale cnms ziko to general kwenye soko ajira ni ngumu sana maana kwenye soko la ajira huwa wanahitaji mtu alie specialize mfano mechanial eng, electrial eng, labda uwe lecturer wa physics
Educatio washajaa mtaani achana nayoHata education amba kitu?
Kuwa na huruma we jamaa..Soma hio nzuri sana
Physics ndio baba lao,
Ukienda ualimu unaenda kujitia umasikini
DaahKwa huo ufaulu wako ungefanya selection vizuri ungepata hata environmental engineering au water resources and irrigation engineering.
Kama bado muda upo, omba upya.
πππππ NakataaNimesoma hii kozi naijua nje ndani kasome uwe jobless kama mimi.
Then unaweza somea physics +ualimu ili ukawe mwalimu wa physics o level and advance nenda chuoni ukaombe course transfer ipo hii optionMwalimu
Ndugu maisha ya familia zetu unayajua sehemu ndogo sana inakua imefaulu hivyo wanaenda pata mwanga wakiwa advice or chuo,hakuna continuity Ktk familia kuhusu elimu ndio maana vijana wanaenda soma course za hovyo sana with respect to kilichopo uraiani,in nutshell ukiondoa kufundisha masomo ya sayansi hakuna kingine elimu ya TZ inamsaidia kijana mtaani,the only science iliopo TZ ni course za doctor hizo mtu afadhali anamwanga anaenda fanya practical even after finishing chuoDogo huna ma broo wako huko....
Mpka sasa naona humu wanakujambisha.....
Cha kufanya wewe ingia chuo kama kawaida ... Then kuna kuwaga na dirisha la kubadili coze hivo utapita tu chap.
Kingine wanaokushauri kubadili corse ambazo zipo nje ya chuo cha dodoma jipange kwa complication za bodi ya mikopo..
Jipangae sana unaweza ukachukulia simple ila huu mwaka ukapita ujaenda chuo blood
Unakataa nini? Kwamba sijasoma hiyo kozi mzee?? Au mpk nikuonyeshe Quantum mechanics 2 nilipataje? au nikuonyeshe namna Eisten aliirarua General theory of relativity?πππππ Nakataa