Nina Division Two ya point 10 (PCB)

Nina Division Two ya point 10 (PCB)

BS physics majors will graduate with the knowledge of classical mechanics, electromagnetism, quantum mechanics, thermal physics/ statistical mechanics and other topics expected for a professional physicist. Kwa Tanzania lazima uwe mwalimu
Duh
 
Usiende kusoma iyo kozi chagua kozi nyengine namjua mtu alosoma iyo kozi badilisha kozi ndugu
Arudie kusoma hii comment yako kila anaposhika simu. Ikiwezekana afanye screenshort kabisa.
Ila akipenda msongo na msoto aende akasome.

Ninayeandika hapa nilisoma kitivo hichohicho, except mimi nilifanya BSc. Mathematics.
Simshauri chochote zaidi ya ushauri wako.
 
Asante brother
 
Nimechaguliwa UDOM kusoma bachelor of science in physics.

Nimejaribu kufuatilia naona kama sio ualimu ila wakati nafanya application nilidhani ni education.

Naombeni mnishauri cha kufanya wakubwa zangu.
Badili nenda Tiba kuna kozi nyingi za Afya
Ama nenda Cnms soma bsc physics with education uwe mwalimu kama unavyotaka
 
Bsc. phy,chem,bios na education ni scam pale cnms ziko to general kwenye soko ajira ni ngumu sana maana kwenye soko la ajira huwa wanahitaji mtu alie specialize mfano mechanial eng, electrial eng, labda uwe lecturer wa physics
Hata education amba kitu?
 
Dogo huna ma broo wako huko....
Mpka sasa naona humu wanakujambisha.....

Cha kufanya wewe ingia chuo kama kawaida ... Then kuna kuwaga na dirisha la kubadili coze hivo utapita tu chap.

Kingine wanaokushauri kubadili corse ambazo zipo nje ya chuo cha dodoma jipange kwa complication za bodi ya mikopo..

Jipangae sana unaweza ukachukulia simple ila huu mwaka ukapita ujaenda chuo blood
 
Kama una mpango na una connection ya kupata kazi nje ya Tz fresh isome hiyo course ila kama ndio mwenzangu na mimi fikiria upya.

Sidhani kama utaweza kujiajiri labda ufungue twisheni senta baada ya kuhitimu au Wizara ya elimu ikuonee huruma ikuajiri ukafundishe
 
Dogo huna ma broo wako huko....
Mpka sasa naona humu wanakujambisha.....

Cha kufanya wewe ingia chuo kama kawaida ... Then kuna kuwaga na dirisha la kubadili coze hivo utapita tu chap.

Kingine wanaokushauri kubadili corse ambazo zipo nje ya chuo cha dodoma jipange kwa complication za bodi ya mikopo..

Jipangae sana unaweza ukachukulia simple ila huu mwaka ukapita ujaenda chuo blood
Ndugu maisha ya familia zetu unayajua sehemu ndogo sana inakua imefaulu hivyo wanaenda pata mwanga wakiwa advice or chuo,hakuna continuity Ktk familia kuhusu elimu ndio maana vijana wanaenda soma course za hovyo sana with respect to kilichopo uraiani,in nutshell ukiondoa kufundisha masomo ya sayansi hakuna kingine elimu ya TZ inamsaidia kijana mtaani,the only science iliopo TZ ni course za doctor hizo mtu afadhali anamwanga anaenda fanya practical even after finishing chuo
 
Application Sasa ya hiyo kozi TZ ni mziki mnene, ingekuwa mbele sawa ila huku mambo yameharibika maana hatuna vipaumbele... Kwani ushaconfirm?
 
Back
Top Bottom