GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Asante Mwenyezi Mungu kwa kunipa Talanta Kubwa ya Kujitengenezea Mjadala na niwe Mjadiliwa Mkuu wa Matukio Kinzani hapa Jamiiforums.
Watu tokea Saa 4 Kamili Usiku huu baada ya Mechi ya Yanga SC na Club Africaine kumalizika Akili zao zote zilikuwa ziko Jamiiforums na hasa hasa Kwangu Mimi GENTAMYCINE ili Wanishushue au Wanicheke na hata Kunidhihaki pia ili mradi tu Wairidhishe Mioyo yao.
Na wapo ambao walidhani baada ya Ushindi wa Yanga SC basi GENTAMYCINE ningeona Aibu kuja (kuwepo) hapa Jamiiforums ila wanashangaa kuwa nipo na bado naendelea Kutiririka na Kuserereka vile vile kama Kawaida yangu.
Wapo Watu ambao wana Chuki nami hivyo najua nao kupitia huu Ushindi wa Yanga SC watapata nafasi ya Kumalizia Hasira zao Kwangu.
Kama huamini kuwa baada ya Ushindi wa Yanga SC huko nchini Tunisia kuanzia sasa hapa Jamiiforums atakayezunguzwa na Kujadiliwa zaidi ni Mimi GENTAMYCINE na wala siyo Yanga SC au Rais wao Injinia Hersi au Msemaji wao Kamwe au Kocha wao Nabi anza sasa kupitia Comments za Watu mara baada ya Uzi huu kwenda Hewani mtayaamini haya niyasemayo.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!