Nina furaha kuwa baada ya Yanga SC Kufuzu CAFCC atakayejadiliwa zaidi Jamiiforums ni GENTAMYCINE na siyo Mwingine

Sijui, sina hakika kama nimeshapongeza au la sababu sina kawaida ya kukariri id, najibugi hoja na kuchangia mada tu bila kujali id na sina kumbukumbu ya id yako.

Ila kwa mada yako hii Uto wamekuprove wrong. Hakuna neno utasema litafuta lililokupata. Wamemaliza.
Rubbish.
 
Wewe ni Chocco tu tena una gubu sana na Yanga kama limama vile
 
Asante Mwenyezi Mungu kwa kunipa Talanta Kubwa ya Kujitengenezea Mjadala na niwe Mjadiliwa Mkuu wa Matukio Kinzani hapa Jamiiforums.

Watu tokea Saa 4 Kamili Usiku huu baada ya Mechi ya Yanga SC na Club Africaine kumalizika Akili zao zote zilikuwa ziko Jamiiforums na hasa hasa Kwangu Mimi GENTAMYCINE ili Wanishushue au Wanicheke na hata Kunidhihaki pia ili mradi tu Wairidhishe Mioyo yao.

Na wapo ambao walidhani baada ya Ushindi wa Yanga SC basi GENTAMYCINE ningeona Aibu kuja (kuwepo) hapa Jamiiforums ila wanashangaa kuwa nipo na bado naendelea Kutiririka na Kuserereka vile vile kama Kawaida yangu.

Wapo Watu ambao wana Chuki nami hivyo najua nao kupitia huu Ushindi wa Yanga SC watapata nafasi ya Kumalizia Hasira zao Kwangu.

Kama huamini kuwa baada ya Ushindi wa Yanga SC huko nchini Tunisia kuanzia sasa hapa Jamiiforums atakayezunguzwa na Kujadiliwa zaidi ni Mimi GENTAMYCINE na wala siyo Yanga SC au Rais wao Injinia Hersi au Msemaji wao Kamwe au Kocha wao Nabi anza sasa kupitia Comments za Watu mara baada ya Uzi huu kwenda Hewani mtayaamini haya niyasemayo.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!
Furaha itoke wapi Popoma?
 
Unajikaza tu lkn mood haiko sawa broo. Tumewapiga mawifibzenu huko uarabuni mnasemaje sasa
 
Nani wa kukujadili wewe popoma!
 
Unajikaza tu lkn mood haiko sawa broo. Tumewapiga mawifibzenu huko uarabuni mnasemaje sasa
Nami bado nauliza je, baada ya Yanga SC Kufuzu Makundi ya CAFCC tuendelee kuliita hili ni Kombe la Walioshindwa ( Losers ) au?
 
Anasema anafuraha wakati ukimkosoa kidogo anatukana.Hii ni dalili ya mtu mwenye huzuni kali Sana.
Nami bado nauliza je, baada ya Yanga SC Kufuzu Makundi ya CAFCC tuendelee kuliita hili ni Kombe la Walioshindwa ( Losers ) au?
 
Nami bado nauliza je, baada ya Yanga SC Kufuzu Makundi ya CAFCC tuendelee kuliita hili ni Kombe la Walioshindwa ( Losers ) au?
This time, kubali tu jamaa yangu umepuyanga! Wewe pamoja na wenzako wachache mlikuwa na matumaini makubwa sana ya Wananchi kufurushwa kwenye haya mashindano! Kisa tu wanacheza na Waarab! Halafu kwenye ardhi yao!

Ila mwisho wa siku ndiyo hivyo tena, mambo yameenda tofauti kabisa na matarajio! Hivyo ni wakati wenu sasa kuvuna aibu.
 
Tuendelee kuita tu haina shida.Ninachojua fika na bila wasiwasi ni kwamba,Gentamycene Sasa anapitia kipindi kigumu Sana katika maisha yake.
 
Na akubali tu anahitaji msaada wa haraka wa kisaikolojia, kabla ya mambo kuharibika kabisa upstairs.
 
Back
Top Bottom