Nina furaha kuwa baada ya Yanga SC Kufuzu CAFCC atakayejadiliwa zaidi Jamiiforums ni GENTAMYCINE na siyo Mwingine

Furaha ya kinafiki haijawahi muacha mtu salama
 
Mbona haueleweki unaongea nini? Nikajua umerudi kuomba radhi
Nami bado nauliza je, baada ya Yanga SC Kufuzu Makundi ya CAFCC tuendelee kuliita hili ni Kombe la Walioshindwa ( Losers ) au?
 
Jamaa anaelekea kupata depression maana kila akiguswa tu anapiga kelele ,wamenigusaaaa.
Nami bado nauliza je, baada ya Yanga SC Kufuzu Makundi ya CAFCC tuendelee kuliita hili ni Kombe la Walioshindwa ( Losers ) au?
 
Walioko karibu na mtu huyu mchungeni na mwangalieni kwa ukaribu tusije sikia kajikamua uhai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…