Cute Msangi
Member
- Apr 11, 2023
- 79
- 226
Wazima jamani
Baada na kuachana na boyfriend wangu, sasa ni miez 5 sipo kwenye mahusiano,Niko mpweke Sana cjui yule mbwa kaniachia gundu mwezenu ata sitongozwi yani kila nikijipitisha walipo wanaume hakuna ata anayenisimamisha au ata wakuniomba namba,nikijiangalia kwenye kioo najiona bado navutia, nimetumia madawa ya mvuto lakini wapi.

Karibu pm nikutoe upwekeWazima jamani
Baada na kuachana na boyfriend wangu, sasa ni miez 5 sipo kwenye mahusiano,Niko mpweke Sana cjui yule mbwa kaniachia gundu mwezenu ata sitongozwi yani kila nikijipitisha walipo wanaume hakuna ata anayenisimamisha au ata wakuniomba namba,nikijiangalia kwenye kioo najiona bado navutia, nimetumia madawa ya mvuto lakini wapi.
Mvuto wa mtu haupo kwenye muonekano wake. Upo kwenye nyota yake. Mwanamke anaweza kuwa mrembo sana ila hawezi vutia, haonekani, hakumbukwi.Hebu picha hata pm tuone shida iko wapi, mimi sio mchawi ila wewe ni mfupi
Unahitaji mwanaume au unahitaji kutongozwa?Wazima jamani