Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu,Mvuto wa mtu haupo kwenye muonekano wake. Upo kwenye nyota yake. Mwanamke anaweza kuwa mrembo sana ila hawezi vutia, haonekani, hakumbukwi.
Binadamu tunaishi kwa kutegemea nyota au wengine wanaita kismati. Kama hauna hicho uwe mzuri, umesoma, una pesa vyote ni kazi bure utashangaa kwa nini watu hawana time na wewe.
Na wasiwasi huyo jamaa new member ni KIDUME🤣🤣🤣🤣😂😂😂Unahitaji mwanaume au unahitaji kutongozwa?
Tatizo lipo hapa ulijibu siku mbili mbele:Wazima jamani
Baada na kuachana na boyfriend wangu, sasa ni miez 5 sipo kwenye mahusiano, niko mpweke Sana sijui yule kaniachia gundu mwezenu ata sitongozwi yani kila nikijipitisha walipo wanaume hakuna ata anayenisimamisha au ata wakuniomba namba,nikijiangalia kwenye kioo najiona bado navutia, nimetumia madawa ya mvuto lakini wapi.