Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
[emoji23][emoji23] Hapa leo tupo kwa ajili ya kufarijiana ebu niache na hilo swali kwanza........kwani na wewe huna mpenzi!?......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23] Hapa leo tupo kwa ajili ya kufarijiana ebu niache na hilo swali kwanza........kwani na wewe huna mpenzi!?......
.......😄😄 ok fine, basi utanijulisha badae, nilitaka niwafariji kwa pamoja ili kuokoa muda.......[emoji23][emoji23] Hapa leo tupo kwa ajili ya kufarijiana ebu niache na hilo swali kwanza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si ndio maana nikakuita nakujua kaka wa watu hauna baya mwenyewe ilimradi mbususu tu iwepo
Basii tyuuh yaan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kipi tena..[emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jf nayo sijui imekuwa kama uwanja wa fisi au Sinza....wakishamaliza kujiuza huko tinder na telegram.,uzee wanakuja kumaliza huku kwa kutoa tia huruma
Unakuta ni dume hilo 😂😁Jf nayo sijui imekuwa kama uwanja wa fisi au Sinza....wakishamaliza kujiuza huko tinder na telegram.,uzee wanakuja kumaliza huku kwa kutoa tia huruma
Hana tako🤣🤣🤣🤣mzabzab fursa hii mshkaji wangu
Tatizo ni kwamba wanawake mna ego sana, mnaona mkitongoza mwanaume ni kama mnajishusha Leejay49ila ya kuachwa na wewe ndo ulimtongoza inauma saana😔, unaweza kutamani hata kujiua ukifikiria labda aliwaambia na washkaji kama me ndo nilimtokea wee, atulie tu asubiri bahati yake, ana umri gani Kwani??
Hiyo ni tabia ya 96.7% of women mkuuuTatizo ni kwamba wanawake mna ego sana, mnaona mkitongoza mwanaume ni kama mnajishusha Leejay49
hivi unajua kuwa mashoga ndiyo wanajitongozesha humu jf?Ebu nirushie ka namba pm nipo serious ujue umeshapata mtu na uzi ufungwe
We mwache atapigwa na kitu kizito sanahivi unajua kuwa mashoga ndiyo wanajitongozesha humu jf?
Hapo shetani anakuwaga anataka kuharibu mapenzi yenu, ukiachika tu hutawaona tenaInatokeaga.....ukiwa single unahitaji kuzama penzini hawapo, ukiwa kwenye penzi zito na mtoto wa mtu yani watu wanakuja kama wameletwa na upepo, hata ukitembea mmeshikana utashangaa mtu anakukonyeza....
Anyway mzabzab come zis wey
Sijui kwann hiyo hutokea ukipata tu n wao wanakuja ukitoswa na wao hawapo...Inatokeaga.....ukiwa single unahitaji kuzama penzini hawapo, ukiwa kwenye penzi zito na mtoto wa mtu yani watu wanakuja kama wameletwa na upepo, hata ukitembea mmeshikana utashangaa mtu anakukonyeza....
Anyway mzabzab come zis wey