Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa tu kalimisi de libolo miezi 5 sio poa aisee. 🤔Mzee wa kupambania toa neno huku
Kupumiliea?Wanatafuta maisha ya mkato
Ungekuwa umeainisha vigezo ulivyo navyo na vya Me umtakaye, saivi wangeshajaa pmWazima jamani
Baada na kuachana na boyfriend wangu, sasa ni miez 5 sipo kwenye mahusiano, niko mpweke Sana sijui yule kaniachia gundu mwezenu ata sitongozwi yani kila nikijipitisha walipo wanaume hakuna ata anayenisimamisha au ata wakuniomba namba,nikijiangalia kwenye kioo najiona bado navutia, nimetumia madawa ya mvuto lakini wapi.
Teh! Teh! kuna aina nyingi za kilimo kuna kile cha baba na mama 6*6 na kile cha kufuga ankore,freshian na pia local trips Rusumo to Rwanda kwa watoto wazuri wenye squirts zao uwiiiiii nisife mapemaRusumo kulima Tena,
Basi sawa kama nawaona na baby wako cute msangi kwenye tractor 🤣
nitumie picha ya maziwa yako pm nione shida iko wapi?Wazima jamani
Baada na kuachana na boyfriend wangu, sasa ni miez 5 sipo kwenye mahusiano, niko mpweke Sana sijui yule kaniachia gundu mwezenu ata sitongozwi yani kila nikijipitisha walipo wanaume hakuna ata anayenisimamisha au ata wakuniomba namba,nikijiangalia kwenye kioo najiona bado navutia, nimetumia madawa ya mvuto lakini wapi.
umshukuru Mungu katoe sadaka anakuepusha na uzinziWazima jamani
Baada na kuachana na boyfriend wangu, sasa ni miez 5 sipo kwenye mahusiano, niko mpweke Sana sijui yule kaniachia gundu mwezenu ata sitongozwi yani kila nikijipitisha walipo wanaume hakuna ata anayenisimamisha au ata wakuniomba namba,nikijiangalia kwenye kioo najiona bado navutia, nimetumia madawa ya mvuto lakini wapi.
Wanawake wa usangi mnajijua mlivyoWazima jamani
Baada na kuachana na boyfriend wangu, sasa ni miez 5 sipo kwenye mahusiano, niko mpweke Sana sijui yule kaniachia gundu mwezenu ata sitongozwi yani kila nikijipitisha walipo wanaume hakuna ata anayenisimamisha au ata wakuniomba namba,nikijiangalia kwenye kioo najiona bado navutia, nimetumia madawa ya mvuto lakini wapi.
Mwanamke asipotongozwa zaidi ya mwezi na mwanaume mpya tayari ilo ni tatizo kubwa. Maana yake haonekani, amekosa mvuto, hakumbukwi, hana ushawishi. Chakula kikuu cha mwanamke ni attention.
Relax mtoto,utapata tu mtu mwenye heshima yake,tembea kama vile tayari una mume,mambo yatajipa tuWazima jamani
Baada na kuachana na boyfriend wangu, sasa ni miez 5 sipo kwenye mahusiano, niko mpweke Sana sijui yule kaniachia gundu mwezenu ata sitongozwi yani kila nikijipitisha walipo wanaume hakuna ata anayenisimamisha au ata wakuniomba namba,nikijiangalia kwenye kioo najiona bado navutia, nimetumia madawa ya mvuto lakini wapi.
Umejuaje ni dume[emoji23]Yaani mwanaume unalilia kutongozwa kweli...[emoji848]
Whatsa happening here? Wanaume hawamtaki 🤣🤣🤣🤣Inatokeaga.....ukiwa single unahitaji kuzama penzini hawapo, ukiwa kwenye penzi zito na mtoto wa mtu yani watu wanakuja kama wameletwa na upepo, hata ukitembea mmeshikana utashangaa mtu anakukonyeza....
Anyway mzabzab come zis wey