INAUZWA Nina hama nauza vitu vifuatavyo

Mkuu team vibajaji nimeku pm
 
Siwezi kwenda navyo nitanunua vingine huku siku za usoni.
 
Yaaan watu wanachunguuuza balaaaa
 
Tv laki Sita NA nusu nicheki 0677009572 whatsapp , kuanzia saa 12 joini, niko safarini kuja Tz
 
Reactions: MC7
Mkuu karibu njoo na 75o nikupe tv na stand yake karibu mno
 
Jaman nna monitor ya dell inch 18 , 2 speaker , keyboard .(90,000) pm
 
Tv ilishaondka mkuu zimebakia sofa tu nauza bei ya kugawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…