SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,919
kambla ya kukigonga unakiombea kwanza il kifafa kipte kushoto!
Mkuu MziziMkavu Mkavu anakusubiri na manesi wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kambla ya kukigonga unakiombea kwanza il kifafa kipte kushoto!
Baada ya kugundua wewe ni morombo nimepata hamasa zaidi na wewe kuliko hiyo kitu...tutafutane!Kule kwetu Tarakea mama akijifungua kisusio kwa sana.
Kuna kitu kinaitwa Mlaso. yaani mbuzi anatolewa damu akiwa hai kinatengenezwa kisusio.
hahahahhahaahahBaada ya kugundua wewe ni morombo nimepata hamasa zaidi na wewe kuliko hiyo kitu...tutafutane!
Lakini alisema ukizidiwa kula hotchair habari ingine mkuu acha kabisa unakuta mtu anakandia chakula tamu ya mdudu lkn yuko kwa ndoa bado ana michepuko kibao kipi bora sasa acha watu wale nyama tamuHivi kwanini munamtania mungu namna hii?munakula vile alivyowazuia tu?
Dah, week end hii naenda kumbushia aisee. Hatari sana.wale wenzangu wapenda hiyo hapo chini naomba tutafutane ijumaaa hii.
kwa wale wasiotumia samahanini wote.
![]()
Mmmh! Udenda unanitoka kwa picha hii. Vivian hunishindi mimi kwa hamu ya hiyo kitu ni balaaa......utamu wake c wa nchi hiiiwale wenzangu wapenda hiyo hapo chini naomba tutafutane ijumaaa hii.
kwa wale wasiotumia samahanini wote.
![]()
Ni aina gani ya chakula hicho mkuu?wale wenzangu wapenda hiyo hapo chini naomba tutafutane ijumaaa hii.
kwa wale wasiotumia samahanini wote.
![]()
Huwaga nina upako sana na wanawake wa kirombo.....hahahahah! Karibu sana.hahahahhahaahah
Huwaga nina upako sana na wanawake wa kirombo.....hahahahah! Karibu sana.
Endelea kusakasaka utajuaNi aina gani ya chakula hicho mkuu?
Haswaaa tena inaonekana ni mpnz wa hiyo kitushosti huyu anazuga
niliko sijawahi iona kirahis rahis labda kwa vile sio mzoefu sana na sehemu yenyewe.Leo nitaifuata Mebs Sinza
niliko sijawahi iona kirahis rahis labda kwa vile sio mzoefu sana na sehemu yenyewe.
nakuonea wivu ujue, mimi huwa naipata pale Sarafina Arusha
Tx darlnPole bestie ila Arusha nasikia nyama choma ya ngombe ni moto wa kuotea mbali. weekend njema Shostito
Tx darln