Nina hamu na hiki kitu sana.

Nina hamu na hiki kitu sana.

Hivi kwanini munamtania mungu namna hii?munakula vile alivyowazuia tu?
Lakini alisema ukizidiwa kula hotchair habari ingine mkuu acha kabisa unakuta mtu anakandia chakula tamu ya mdudu lkn yuko kwa ndoa bado ana michepuko kibao kipi bora sasa acha watu wale nyama tamu
 
wale wenzangu wapenda hiyo hapo chini naomba tutafutane ijumaaa hii.

kwa wale wasiotumia samahanini wote.

DSC00212.JPG
Dah, week end hii naenda kumbushia aisee. Hatari sana.
 
wale wenzangu wapenda hiyo hapo chini naomba tutafutane ijumaaa hii.

kwa wale wasiotumia samahanini wote.

DSC00212.JPG
Mmmh! Udenda unanitoka kwa picha hii. Vivian hunishindi mimi kwa hamu ya hiyo kitu ni balaaa......utamu wake c wa nchi hiii
 
Napajua Tarakea ndo maana nimefurah sana
Asante kwa ukaribisho. BTW ni upako wa namna gani? Kuwa wazi bhana
Huwaga nina upako sana na wanawake wa kirombo.....hahahahah! Karibu sana.
 
niliko sijawahi iona kirahis rahis labda kwa vile sio mzoefu sana na sehemu yenyewe.
nakuonea wivu ujue, mimi huwa naipata pale Sarafina Arusha

Pole bestie ila Arusha nasikia nyama choma ya ngombe ni moto wa kuotea mbali. weekend njema Shostito
 
Back
Top Bottom