Nina hamu ya kuolewa ila sipati mtu aliye na utayari

Daaahhh huwa tunashinwana ktk vigezo

Mngekuwa mnawasiliaana na Wachina watengeneze watu wenye vigezo mtakavyo
 
Mapenz sikuiz hadi rangi ya mtu inaangaliwa?, eh Mungu ulivomaliza uumbaji kwa macho yako uliona kila kitu ni kizuri ...
Leo tunachaguana kwa rangi;, urefu, elimu, kabila ..
Hadi nashangaa, vigezo kibaooo
 
Uko poa
 
mimi sijui nna nux gani maana tangu nianze kuingia humu sijawahi kukuta vigezo nnavyokuwa navyo nna ambulia kwenye elimu tu vingine vyote hola sasa mimi mfupi halafu mweusi sijui ntamuoa nani maana kila mtu anataka mrefu mweupe hila poa nna imani ukifika miaka 28 vigezo vitapungua.
 
[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole
 
Mama yangu! kweli dunia inaelekea mrama. Sasa wewe mdada hivyo vigezo ulivyoweka hapo mbona vinakinzana na vya mtu unaemtafuta? Wewe tuliza akili na waza kwanza kuhusu maisha yako ya mbeleni na sio mambo ya kuja hapa kulalamika tena ooo.. yule niliyempata mara haachi hela ya matumizi, mara anachepuka ...oooo naomba ushauri..... Wewe dogo kama nakuona vile tuliza akili mwombe mungu kwa nguvu zakao zote akupe mtu wa kufanana nae na sio MAMBO YA KUSEMA OOOO... UNA HAMU... unafikiri kuolewa ni sawa na hamu nyingine za chipsi kuku, soda, baga, ..................saasawa
 
Nitumie Private Message
 
Hapo sasa naamini nimepata mke mwema njoo ni Pm tuongee mengine yamziki hayo yanaisha baada ya kukaa ndani..
Kama upo serous lakini.. Nitafute
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106]
 
CV yako yenyewe ndo hiyo Kucheza mziki....haha at least kupika kidogo....yaan unavigezo vichache AF unataka mwanaume mwenye sifa nyingi....we ebu rudi ukajievaluate...at least useme ilimrad mwanaume
 
Njoo pm
 
Ila mademu wa kutafuta wapenzi mitandaoni wengi ni sura ngumu..yani hawatongozeki mtaani!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…