Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Watanzania sasa hasa vijana na wazee wachache hawaeleweki kabisa.
Serikali hata ifanye jambo gani wao ni kukosoa tu
Serikali inaandaa fursa kwa vijana, vijana badala ya kuamka kuziendea wako busy kusubiri post za vuongozi wa serikali mitandaoni waanze kukosoa .
Kila kinachohusiana na serikali huko mitandaoni vijana hukomenti negative hata kama kina tija kwa Taifa na vijana.
Hii ni effect ya campaign za yule mtoto malaya aliyezaa na baba yake mzazi.
Watanzania lazima wajue kuwa Sudan ambako umaskini unaweza kuukamata kwa mikono ni matokeo ya binti mmoja tu ambaye alionekana shujaa awali. Na baada ya nchi kuharibika yeye yuko kwa wazungu anakula mema ya nchi.
Awamu hii ya Samia inamwaga ajira kuliko wakati wowote ule, awamu hii scholarship kama maji, fursa za ajira za nje, fursa za uwekezaji nyingi sana lakini vijana wako online kusubiri post yoyote inayomtaja Rais Samia au serikali waanze kuishambulia.
Mange ulaaniwe