Nina hiki kidogo naomba mnishike mkono wana Dodoma

Nina hiki kidogo naomba mnishike mkono wana Dodoma

Kaluluma

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
468
Reaction score
619
Habari za leo wanajamiiforums.

Naomba mwenye connection ya kibarua chochote cha malipo ya siku kwa Dodoma aniunganishe.
Nitatoa shilingi elfu kumi(10,000) kama shukrani.

Naweza kuwa kondakta wa daladala, kiwandani, saidia fundi, najua kuendesha pikipiki japo sina leseni n.K.
Mimi ni mwanaume umri miaka 24.

Natanguliza shukrani.

Mawasiliano yangu ni 0624008133.
 
Habari za leo wanajamiiforums.

Naomba mwenye connection ya kibarua chochote cha malipo ya siku kwa Dodoma aniunganishe.
Nitatoa shilingi elfu kumi(10,000) kama shukrani.

Naweza kuwa kondakta wa daladala,kiwandani,saidia fundi,najua kuendesha pikipiki japo sina leseni n.K.
Mimi ni mwanaume umri miaka 24.

Natanguliza shukrani.

Mawasiliano yangu ni 0624008133.
Dodoma kwa wagogo ni kugumu sana.....hamia Dar kwa wazaramo mji wao unawepesi wepesi
 
Dhihaka na mdhaha kwenye matatizo ya watu, heri yako wewe ndugu yangu.

# Mleta mada I hope wenye msaada watakusaidia.

Kwani tatizo lipo wapi,watu wanaishi kwa kuokota makopo na kulisha familia hapa hapa mjini acha dharau basi ...

Hio ni kazi kma kazi nyingine
 
Kwani tatizo lipo wapi,watu wanaishi kwa kuokota makopo na kulisha familia hapa hapa mjini acha dharau basi ...

Hio ni kazi kma kazi nyingine
Yaani mtu ana 10,000 tu, aongeze ya kutoka wapi? Atakula nini? Na atalala wapi? Akiugua je? Kama upo tayari kumu host mimi ntamuongezea nauli
 
Kama alizungumza kwa wema sawa na kama alizungumza kwa uzuri ama ubaya atajua yeye mwenyewe.
Wote hatujui kama ni kwa wema au kwa ubaya, ni hakuna sababu ya kumjibu kwa ubaya zaidi ya kutenda wema na kuendelea na maisha
 
All the best
M/Mungu akuwekee wepesi kwenye hili
Habari za leo wanajamiiforums.

Naomba mwenye connection ya kibarua chochote cha malipo ya siku kwa Dodoma aniunganishe.
Nitatoa shilingi elfu kumi(10,000) kama shukrani.

Naweza kuwa kondakta wa daladala,kiwandani,saidia fundi,najua kuendesha pikipiki japo sina leseni n.K.
Mimi ni mwanaume umri miaka 24.

Natanguliza shukrani.

Mawasiliano yangu ni 0624008133.
 
All the ßest
M/Mungu akuwekee wepesi kwenye hili
Hongera kwa kupambana, kujitangaza nayo ni moja ya kufanikiwa, mimi nauza nguo za mtumba hasa za watoto, tunapeleka sehemu tofauti hata vijijini, vp upo tayari kufanya hiyo kazi, kama upo tayari ni pm
 
nakuja pm mkuu
 
Back
Top Bottom