Nina hiki kidogo naomba mnishike mkono wana Dodoma

Nina hiki kidogo naomba mnishike mkono wana Dodoma

Dhihaka na mzaha kwenye matatizo ya watu, heri yako wewe ndugu yangu.

# Mleta mada I hope wenye msaada watakusaidia.
Bila shaka mkuu,akhsante kwa kunitia moyo Mungu akubariki mkuu
 
Nategemea kuanza kazi sait wiki mbili zijazo huko Dodoma. Ni mradi wa ujenzi wa makazi na ofisi.
Nikikumbuka nitakutafuta.
 
Kwani tatizo lipo wapi,watu wanaishi kwa kuokota makopo na kulisha familia hapa hapa mjini acha dharau basi ...

Hio ni kazi kma kazi nyingine
Hata kuokota vyuma chakavu ni kazi. Au kupita majumbani mwa watu kukusanya taka na kuzipeleka dampo au wanakokusanyia. Mjini kila kitu ni fursa. Wanaikukebei hawaijui Dar.
 
Mkuu jana nikikuwa huko Dom nimeona hapo wanapojenga soko jirani na njia ya singida kuna gorofa inajengwa jaribu kufika hapo uombe kibarua
 
Back
Top Bottom